Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku 40 bila kuambiwa "kaeni na mavi yenu nyumbani msichafue vyoo vya serikali".
Awamu ya tano ndiyo iliyozalisha watu wanaoitwa wanyonge. Na baadhi yao mpaka sasa wanaona ni sifa kuitwa wanyonge. Hawa watu wanahitaji ukombozi wa kifikra, TZ hatuna wanyonge.Unyonge na umasikini sio sifa, kwahiyo tusivi promote kama vile ni sifa. Hata hili neno wanyonge halina mantiki kulitumia.
Mgufuli nyumbu wa level ya Ph.D.Na wewe unamfuatisha mwanafunzi wake.Nyumbu hamtakagi kuambiwa ukweli, magu alikuwa anawachana live. Unakuja na kinyesi chako unataka ukanye kwa garama unayo taka wewe??.
Mlizani kuna shangazizenu wa kusafisha kinyesi chenu kwa pesa kidogo, aisee.
Alisha waambia hakwenda ikulu kutafuta mke so no kubembelezana.
R.I.P Jembe.
Hayo yote aliyafanya kwa manufaa yake pia.SIKU 40 BILA MWAMBA: ULITUHESHIMISHA SISI WANYONGE NA MASIKINI,PUMZIKA KWA AMANI JPM.
Katika awamu ya nne ya Rais Mstaafu Kikwete kurudi nyuma hadi Azimio la Zanzibar, Matajiri na Wafanyabiashara walikuwa na Jeuri za kila aina,kwa maana walianza kufanikiwa kuifanya CCM kuwa ya Wafanyabiashara, Wakulima na Wafanyakazi kitu ambacho kilikiuka miiko ya CCM iliyokuwa ya Chama Cha Wakulima na Wafanyakazi,na CCM ambayo inaongozwa na itikadi ya Kijamaa,sio ya Kibepari.
Dhana ya Wafanyabiashara kuhodhi mali za CCM na kuitawala CCM iliwapa jeuri Matajiri ambao wengi wao ni Wafanyabiashara waliokuwa wafadhiri lakini pia Mafisadi,jeuri ya Matajiri ilikuwa kubwa hasa awamu ya nne,matajiri walifikia mpaka kuamua uhai wa watu masikini waishi vipi wakae wapi wale nini kwa maana gap la tajiri na masikini lilikuwa kubwa na baadhi ya matajiri walikuwa na utajiri kiasi cha kuweza kuikopesha Serikali.
Alipoingia Hayati Rais Daktari John Pombe Magufuli alituheshimisha wanyonge ambao tulikuwa tukionewa na matajiri hata sauti zetu zisisikike popote, Wanyonge ambao hatukuwa na mtu wa kutupa kimemo ili twende kwa Mkurugenzi fulani atuajiri,Rais wa Awamu ya tano, Daktari John Pombe Magufuli alituheshimisha sisi Masikini (Mimi nikiwemo) kuwa hata sisi pia ndani ya hii Ardhi ya Mama Tanzania tuna thamani yetu,tuliokuwa matombo Morogoro tuliweza kupata ajira tukiwa kijijini matombo na wasiopata walikuwa na matumaini ya kupata, Hayati Rais Magufuli alitupa ujasiri (akatujaza) jeuri sisi masikini mpaka Matajiri nao wakaanza kutunyari (kutuogopa) Wanyonge na masikini nasi tukaanza kuona kuwa Tanzania ni nyumbani kwetu sio nyumbani kwa matajiri peke yao.
Watu wanauliza mnyonge ni nani? wengine wakianzisha kampeni wasiitwe wanyonge,lakini niwaambie mnyonge ni mtu yule anaepata mlo mmoja au miwili kwa siku, akipata milo mitatu kwa shida,inabidi achakarike na asisumbuliwe, mfano Mmachinga anafukuzwa na askari sehemu yake anayofanya biashara. JPM aliwapa kibali cha unafuu, wataacha kumpenda?kwa mnyonge, akipata kile anachotafuta bila kusumbuliwa, ni Raha yake na anamuamini aliyemuwezesha,Hayati Rais John Pombe Magufuli aliweza hilo.
#Ahsante Rais Magufuli
#Pumzika kwa Amani Mwamba.
kwanza Mwamba ndiyo nani labda kwa mfano?
SIKU 40 BILA MWAMBA: ULITUHESHIMISHA SISI WANYONGE NA MASIKINI,PUMZIKA KWA AMANI JPM.

#Pumzika kwa Amani M
Na bado mtazihesabu siku sana na hatarudi ng'oooo! Hapo mkubali matokeo badilikeni tu.SIKU 40 BILA MWAMBA: ULITUHESHIMISHA SISI WANYONGE NA MASIKINI,PUMZIKA KWA AMANI JPM.