Siku 60 za Rais Samia madarakani: Tunakushukuru sana kwa uongozi wako makini, hakika umerejesha tumaini na furaha

Lete evidence ya tuhuma ulizotoa kama huna ni chuki binafsi! Bahat ya mwenzio usiilalie m.k.n.d. waz hakika utajikuta matacle yana slide tuu!! OVER
Hapo ni lijakaya linachagiza mambo kwa rimoti kutokea msoga.

A drug dealer number 1. Mkwepa kodi na MWIZI.

JIZI la gesi na maliasili za nchi.
 
Ni vizuri ukajiheshimu mkuu, hutopungukiwa na kitu....
 
Hakika sitajitendea haki nisipokushukuru mwasilisha mada kwa uchambuzi makini na wenye lugha nyepezi kufahamika na wasomaji. Kwa jumla haikuongozwa na ushabiki bali busara. Hongera kwako!

Nikumbushe tu kuwa kingine ambacho kimetokea ni watu kuanza kujiamini na kuwa na matumaini kitu ambacho ni muhimu kuliko kupewa pesa. Hakika Mungu ambariki Mama Samia!
 
Asante sana

Kazi iendelee
 
JIZI la gesi hilo, hakuna kitu pale!

Kulitetea hilo JIZI-DHAIFU la msoga yataka moyo!
Mi sitetei wizi hata cku moja, hapa jf nipo kwaajil ya kupata ukwel wa mamb kwa kuona evidence. Achana na maisha ya conspiracy theories!! Weka evidence tusonge mbele
 
Who are you to give me such stupid commands?

Kwanza jina lako nani wewe?

PAC THE DON?

What is PAC THE DON?
Pac the Don is just a realest nigga with full of intelligence. Ckupi command but ukija humu uka claims jamb hakikisha unaweza ukalinda claims zako kwa evidence. Think about it!
 
Tuko Pazuri mno. In Jpm's voice
 
kama unaona hapakufai hama nchi nenda somalia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…