Siku 60 za Rais Samia madarakani: Tunakushukuru sana kwa uongozi wako makini, hakika umerejesha tumaini na furaha

Kutana na taifa linalo ongozwa kimbea mbea tu nimwendo wakumsuta tu nakumchamba mtu alofanya ubadhirifu mpaka akonde ckunyngne asiludie
 
Hakika chuki ya makafiri haiwezi kuisha
 
Hakika wajane lazima waumie kwa kifo cha mume ,pole sana mfiwa
 
Mbona unajihami? Kwan ni vibaya Mama akifanya kazi na jk ? , kumbuka jk ni raisi mstaafu so mama ni lazima awe nae karibu kwa ajili ya ushauri
Masikini hata hujanielewa 🤣🤣 hebu fuatilia comments zangu then utaelewa nimesimamia wap
 
Kwanza amani imerudi na matumaini mapya yanajengeka,Sio tena Mitano aongoze tu mpaka 2030
 
Pac the Don is just a realest nigga with full of intelligence. Ckupi command but ukija humu uka claims jamb hakikisha unaweza ukalinda claims zako kwa evidence. Think about it!
acha kupoteza muda na huyo, unaweza kuta sabayaq huyoo
 
Huh... hakikisha?

Did you really mean that?

Hakikisha?

Hakuna chochote ninachopaswa kuhakikisha hapa.

Siwajibiki kuhakikisha wala kutohakikisha lolote.

Unaweza kuendelea kulitetea JIZI la msoga.
naona ulikuwa mbion kupat teuzi ndoto zimekufa[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mama wewe ni kipenzi cha wa Tz.
Wewe ni Ester (ktk biblia), umekuja kutuokoa ktk mikono ya .....
Wewe ni chaguo la Mungu.
Mama unapatikaje nikupe mitetea 4 ya nguvu unywe supu

Mungu hawezi kutuma watu wanaokumbatia ujambazi wa mali za umma, Mungu hawezi kutuma mtu asiyekemea uovu, Mungu hawezi kutuma watu wazembe wasiojielewa

Kama kweli alitumwa na Mungu angekua na misimamo ya kueleweka na sio kuyumbishwa hovyo , Mama katumwa na JK
 
Umemtendea haki kwa uandishi huu. Usijali wale MATAGA ambao bado wana hangover ya Mwendazake watakachosema.
 
Kivumishi Kielezi unapotumia matusi moja kwa moja unaonyesha huna uwezo wa kupangua hoja za mtoa mada. Watu wameonewa na Mwendazake lakini wewe unawaita majizi na wahalifu. Mahakama ndiyo pekee yenye uwezo wa kusema huyu ni mhalifu. Kama haijasema anabaki kuwa ni mtuhumiwa tu.

Magufuli aliwakamata watuhumiwa wengi kati ya 2016 na 2018 watu hao kwa miaka yote hiyo kesi zao hazikawahi kusikilizwa kwa kisingizio cha kutokuwa na ushahidi. Ile ilikuwa roho ya KIMASKINI sana na MUNGU wetu hakupendezewa nayo ndiyo maana kamfurusha kwenda jehanam mapema
 
Hahahaaaa.... wewe kweli kichwa kimejaa kamasi.

Unaweza ukamfananisha CHUMA JPM MKEMIA na huyo BIBI KIZEE DHAIFU!??

Wacha mchezo wewe!!

Hapa tunaigiza tu — miaka minne iishe arudi unguja akale urojo huko barazani!
Ni mkemia FAKE kwa kuwa hakuamini Sayansi katika kushughulikia COVID19
 
Good at wearing ushungi!

Uko sahihi.
Tatizo mlishaziea utumwa. Beberu wamewaaminisha kuwa mwafrika hawezi kuongozwa (chini ya kiongozi) bali anatakiwa atawaliwe (chini ya mtawala). Na umaskini wetu ulianzia hapa. Mama anawathibitishia kuwa mabeberu wako wrong ila ndio hivyo mshazoea kuchungwa kama ng'ombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…