Siku 60 za Rais Samia madarakani: Tunakushukuru sana kwa uongozi wako makini, hakika umerejesha tumaini na furaha

Hapo kwenye vifurushi vya intaneti umechemka mjomba
 
ndio wote tutakufa, tatizo lenu nyie mnataka Jiwe ndio aendlee kuongoza nchi wakati tayari yupo futi sita chini
hatuna maana hiyo lakini kitendo cha kusema nimfate kaburini wakati na wewe kaburi linakuhusu muda wowote hapo ndo umeniacha hoi.

kama ulizaliwa UTAKUFA TU tena siku si nyingi
 
Mapambio Mapambio mbona twitter yangu mi mpaka kwa VPN?
 
hatuna maana hiyo lakini kitendo cha kusema nimfate kaburini wakati na wewe kaburi linakuhusu muda wowote hapo ndo umeniacha hoi.

kama ulizaliwa UTAKUFA TU tena siku si nyingi
mtesaji wa wananci kafa, acheni mama afanye kazi, shenzy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…