#COVID19 Siku 60 zijazo Tanzania inaweza kuwa zaidi ya India kwenye suala la COVID-19

Hapo Mwamba ataombea kinoma hali iwe tete to prove his thread[emoji1787]

Wazee wa ShowShow-Media bwana!
 
mwe
nzetu umeshachanja?
toka asubuhi umenawa mikono mara ngapi?
je umejitahidi kuweka umbali kati yetu na wewe?
kama umefanya haya vizuri ila sisi hatutakufa kwa kiasi hicho
 
Kosa langu ni nini kwenye huu uzi? Ni kutoa angalizo au ni kusema kuna uzembe katika kupambana na huyu mdudu?
 
Umefishafika huko kwenye hizo siku
Itakua zaidi ya India kijijini kwenu na sio Tanzania! Walikuwepo wengi tu waliotutabiria mabaya lakini tumeuona mkono wa Mungu ukiwa pamoja nasi. Siku 60 zijazo zitakua kama siku 60 zilizopita tu!
Kwani mbona India bado naiona kwenye ramani ya Dunia
Pumba tupu, utasubiri sana kuona maiti mtaani na utabiri wako wa kishetani huo.

Huna lolote unachofanya ni kurudia tabiri za mke wa Billgate mwenyewe wajiona mjanja kumbe ni jinga la mwisho
Mjinga namba moja ni wewe
Mke wa billgate alihubiri huu ujinga wako na wala hajafanikiwa pumbavu mkubwa.

Wenye akili wakisha comment kama hivi wenzao tukija TUNAKAZIA TUU

📌🔨
 
Tarehe 11 mwezi wa 9 utatujuza vifo vimefika vingapi kisa Corona[emoji1][emoji1]
 
Mjinga namba moja ni wewe
Mke wa billgate alihubiri huu ujinga wako na wala hajafanikiwa pumbavu mkubwa.
[emoji23][emoji23][emoji23].bola hujajivunga kuonyesha jinsi ulivovulugwa na huu upuuzi wa jamaa.
 
Utabiri wako ushindwe na usitimie kamwe. Tunaliombea taifa ma watu wake uzima na afya tele na Mungu aliye muaminifu atatuvusha.
 
Mkuu nasema hivi "TUSITIANE HOFU" kwa maisha yetu haya kumkwepa COVID19, haiwezekani ni Mungu tu ndio ametufikisha hapa na tutavuka tu, weee kaaa na ramli zako, kwani imegeuka kuwa mradi wa viongozi halafu wananchi ndio bidhaa!!
 
aisee haya maneno tulishaambiwa sana mkuu, toka mda tu.. kabla hata ya india kabla hata ya uganda... lakini bado tuko tu, na wala hatuendi mahali,

NA HAKUNA KITU MNAWEZA KUTUFANYA
 
Tahadhali chukua wewe siyo uanze kutisha weñgine! Kila siku mnazungumzia hilo2 ina maana Hamna jipya la kujadili hapa? Jinga kabisa!
 
Vijana acheni kukaa vijiweni fanyeni kazi. Nasisitiza tafuta kazi bora upate hata buku tano ila usipoteze muda kijiweni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…