Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,094
- 37,314
Viongozi wa dini wameingiaje kwenye swali nililokuuliza mkuu🤣🤣🤣🤣☝️Kwaio watanzania wana imani kuliko hata viongozi wa dini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viongozi wa dini wameingiaje kwenye swali nililokuuliza mkuu🤣🤣🤣🤣☝️Kwaio watanzania wana imani kuliko hata viongozi wa dini?
Unapaswa kunijibu ina maana Tanzania ilikuwa na tahadhari zaidi ya USA, Brazil, Italia n.kSijakuelea,kwa hiyo kinachoisaidia Tanzania ni nini? Mungu, tahadhari au mbinu za asili?
Akili za kushikiwa lazima uonekane mpumbavuJana nimepanda gari naenda kwenye kikao,gari zima nimevaa mm tu,nafika kwenye kikao nashngaa watu hawana habari kabisa.
Kama unampenda kufa anza kufa weweKuna hatari kubwa sana mbele yetu. Hatua za lazima za tahadhari inapaswa zichukuliwe. Suala la kusema tuchukue tahadhari wakati mambo yanafanyika kimazoea yatatuletea vifo vya covid hadi tushangae
Hizo siku 60 zijazo nitakukumbusha ili unipe takiwimu corona imeua watu wangapi katika familia yakoTanzania nchi ya mzaha mzaha kwenye kila kitu. Watanzania wengi ni watu wasiojali, yani hawajali chochote kiwe hatari au faida.
Watanzania hao hao kwenye kualalamika wanaongoza baada ya kupata madhara tayari ila ni wazito sana kufanya maamuzi...
Hivi unawazaje kuandika mambo kama haya kuwatabiria Watanzania wenzako hata wanadamu wenzako mabaya. Watu kama nyie mnaitwa PSYCHOPATHS au WATU WENYE ROHO MBAYA. Hatufi tuna kinga nzito kutokana na nguvu ya Mwenyezi Mungu aliyotuumba nayo. Tunaamini katika UKUU wa Meenyezi MunguTanzania nchi ya mzaha mzaha kwenye kila kitu. Watanzania wengi ni watu wasiojali, yani hawajali chochote kiwe hatari au faida.
Watanzania hao hao kwenye kualalamika wanaongoza baada ya kupata madhara tayari ila ni wazito sana kufanya maamuzi..
Shukuru kwanza kama utakuepo wewe kwa kuzembeaHizo siku 60 zijazo nitakukumbusha ili unipe takiwimu corona imeua watu wangapi katika familia yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaokufa hawaamini huo ukuu?Hivi unawazaje kuandika mambo kama haya kuwatabiria Watanzania wenzako hata wanadamu wenzako mabaya. Watu kama nyie mnaitwa PSYCHOPATHS au WATU WENYE ROHO MBAYA. Hatufi tuna kinga nzito kutokana na nguvu ya Mwenyezi Mungu aliyotuumba nayo. Tunaamini katika UKUU wa Meenyezi Mungu
Comment kama hizi ndio zinahamasisha ujinga
Siku yao inakuwa umefika. Tusitishane sana na kifo. JPM alisema TUSITISHANEE kama utakuwa kwa korona utakufa kwa malaria,ajali, kansa n.k. Narusia TUSITISHANEE.Wanaokufa hawaamini huo ukuu?
Unahisi nani hafahamu kuwa covid ipo na huyo presenter wako ndio muhuri wa uwepo wa covid au uko na maana gani?Tuendelee kuchukua tahadhari ....Kovid ipo....Jabir Saleh Efm Presenter kathibitisha hilo.
Maisha yanaenda kasi sana, makundi haya uliyotaja ndio yalikuwa yanamuandama Hayati kuhusu tahadhari pamoja na juhudi alizofanya, lakini leo wako kimya kama hamna tena tatizo la upumuaji!Kwa sasa raia ana mkutano na taasisi fulani kajaza watu zaidi ya 100 hakuna umbali wa kukaa barakoa sio lazma afu unawaambia "jihadharimi na corona, ipo na tuna wagongwa" nani anakusikiliza? Makanisa yanajaa kama kawaida, misikiti kama dawa, vikao mikutano kwenye usafiri hakuna tahadhari inayochukuliwa mnategea nini baada ya siku 60?
Mwakajana tulifanikiwa kwakuwa kila mtu aliwajibika ipasavyo, lakini ustaarabu ulivurugwa baadaye tulipoambiwa na watu walewale tena viongozi wataalamu wa afya wabobezi "...HAKUNA UGONJWA" leo hii mwananchi kuambiwa na watu walewale kuna ugonjwa wanaona kama wanachezeshwa twistPamoja na wizara ya afya kutangaza idadi ya waathirika wa covid bado kama vile hakuna kilichotokea, lakini je kutangaza idadi ya wagonjwa ndio itawachochea watu kuchukua tahadhari? Jibu ni HAPANA.
Kwani mwanzoni ikiwezekana vipi? Hapa nampa sifa sana Makonda akiwa RC wa Dar. Tunakumbuka hatua alizotangaza zilisaidia sana.
Kwa sasa raia ana mkutano na taasisi fulani kajaza watu zaidi ya 100 hakuna umbali wa kukaa barakoa sio lazma afu unawaambia "jihadharimi na corona, ipo na tuna wagongwa" nani anakusikiliza? Makanisa yanajaa kama kawaida, misikiti kama dawa, vikao mikutano kwenye usafiri hakuna tahadhari inayochukuliwa mnategea nini baada ya siku 60?
Peleka upumbavu wako hukoComment kama hizi ndio zinahamasisha ujinga