MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,507
- 4,943
Wanayanga mpito wanaopitia, Inadhihirisha mambo makuu mawili
1.Siku zote akili kubwa haiwezi kuongozwa na akili ndogo. Jaribu kuangalia hata hadhi, heshima, hekima na busara za kiuongozi kati ya rais hawa wawili, TFF na Young africans sc, utapata jibu.
2.Kwa sasa Yanga anafanyiwa hujuma na nguvu kubwa sana inatumika kuhakikisha wanabalance mzani wa Bingwa Ligi Kuu Bara na si kwa kuangalia yupi anastahili. Imekuwa ni kama vile sasa lazima Yanga auachie ubingwa kwa mwenzake, hata kama hastahili.Na mbaya zaidi nguvu kubwa sana, kuanzia TFF na rais wake, Bodi ya Ligi nk.
Nawakumbusha tu kwamba chekeni na furahini sana kwa sasa kwakuwa rais wa TFF ana affiliation na club ya 5imba. Na urais wa TFF ni wa kupokezana kijiti, Siku akaja rais wa TFF mwenye affiliation na Yanga, Tutakumbushana mithili ya Wahutu walivyowakumbusha watutsi baada ya mzungu kuondoka.
TUTAKUWEPO.