Siku akija Rais wa TFF mwenye affiliation na Yanga tutakumbuka haya na tusilaumiane

Yanga kafanya upuuzi, Simba kafanya upuuzi, Karia kaja kumalizia upuuzi.

Kama kweli unachukia haya mambo anza na vilabu vyako.
Kamaliza upuuzi kwa kufanya upuuzi zaidi ya uliofanywa na bodi ya Ligi, sio kwamba hajui, ni makusudi tu
 
Kama ni kinara wa rushwa kwanini usipeleke ushahidi wako TAKUKURU akamatwe kirahisi tu badala yake unaomba viongozi wa kiserikali wenye uyanga kama wewe wambambikie kesi.
Hii nchi viongozi wa kiserikali sio Yanga pekee kwahiyo usifikiri ni rahisi hivyo kumbambikia kesi mtu mwenye weledi na mchapakazi kama Karia
Huku unaomba ushahidi kule kwenye uzi wangu hutaki kusikia maswala ya ushahidi ila vijana wa kitanzania daah😂😂😂
 
View attachment 3274147

Wanayanga mpito wanaopitia, Inadhihirisha mambo makuu mawili
1.Siku zote akili kubwa haiwezi kuongozwa na akili ndogo. Jaribu kuangalia hata hadhi, heshima, hekima na busara za kiuongozi kati ya rais hawa wawili, TFF na Young africans sc, utapata jibu.

2.Kwa sasa Yanga anafanyiwa hujuma na nguvu kubwa sana inatumika kuhakikisha wanabalance mzani wa Bingwa Ligi Kuu Bara na si kwa kuangalia yupi anastahili. Imekuwa ni kama vile sasa lazima Yanga auachie ubingwa kwa mwenzake, hata kama hastahili.Na mbaya zaidi nguvu kubwa sana, kuanzia TFF na rais wake, Bodi ya Ligi nk.

Nawakumbusha tu kwamba chekeni na furahini sana kwa sasa kwakuwa rais wa TFF ana affiliation na club ya 5imba. Na urais wa TFF ni wa kupokezana kijiti, Siku akaja rais wa TFF mwenye affiliation na Yanga, Tutakumbushana mithili ya Wahutu walivyowakumbusha watutsi baada ya mzungu kuondoka.

TUTAKUWEPO.
Yeah 😊
 
Hivi kwa nini akina Mwigulu wasitengeneze mazingira huyu Msomali apewe hata kesi ya kutakatisha fedha kama mtangulizi wake? Ili hadi amalizane na kesi, iwe ni huko 2030? Ni uzembe kwa nchi kumruhusu kinara wa rushwa kuharibu sok la nchi namna hii.
haO wakina mwigulu wenyewe wanaemtegemea kwenye madili yao.Lakujiuliza ni kwamba mmefikia kuwaza hivi..Watu wanaojihusisha na yanga Wana roho za kihalifu na visasi.
 
Si mmeshaenda enda CAS vilio vya nini sasa subilini hikumu itoke muanze kuwalaumu FIFA
 
View attachment 3274147

Wanayanga mpito wanaopitia, Inadhihirisha mambo makuu mawili
1.Siku zote akili kubwa haiwezi kuongozwa na akili ndogo. Jaribu kuangalia hata hadhi, heshima, hekima na busara za kiuongozi kati ya rais hawa wawili, TFF na Young africans sc, utapata jibu.

2.Kwa sasa Yanga anafanyiwa hujuma na nguvu kubwa sana inatumika kuhakikisha wanabalance mzani wa Bingwa Ligi Kuu Bara na si kwa kuangalia yupi anastahili. Imekuwa ni kama vile sasa lazima Yanga auachie ubingwa kwa mwenzake, hata kama hastahili.Na mbaya zaidi nguvu kubwa sana, kuanzia TFF na rais wake, Bodi ya Ligi nk.

Nawakumbusha tu kwamba chekeni na furahini sana kwa sasa kwakuwa rais wa TFF ana affiliation na club ya 5imba. Na urais wa TFF ni wa kupokezana kijiti, Siku akaja rais wa TFF mwenye affiliation na Yanga, Tutakumbushana mithili ya Wahutu walivyowakumbusha watutsi baada ya mzungu kuondoka.

TUTAKUWEPO.
Imagine huko TFF wamejaa wenyewe, ukija kwa waamuzi nako unakutana na akina Tatu Malogo! Na bado wanaume wanachukua ubingwa kila mwaka.
 
Huku unaomba ushahidi kule kwenye uzi wangu hutaki kusikia maswala ya ushahidi ila vijana wa kitanzania daah😂😂😂
Kama mna ushahidi dhidi yake si mpeleke kwenye mamlaka husika huo ugumu mnautoa wapi?
 
Nakukumbusha ndugu mwandishi.Yanga wenye akili ni wawili tu.
Kikwete na ...
Nyie wengine fyuzi zilishaungua😂😂😂
 
View attachment 3274147

Wanayanga mpito wanaopitia, Inadhihirisha mambo makuu mawili
1.Siku zote akili kubwa haiwezi kuongozwa na akili ndogo. Jaribu kuangalia hata hadhi, heshima, hekima na busara za kiuongozi kati ya rais hawa wawili, TFF na Young africans sc, utapata jibu.

2.Kwa sasa Yanga anafanyiwa hujuma na nguvu kubwa sana inatumika kuhakikisha wanabalance mzani wa Bingwa Ligi Kuu Bara na si kwa kuangalia yupi anastahili. Imekuwa ni kama vile sasa lazima Yanga auachie ubingwa kwa mwenzake, hata kama hastahili.Na mbaya zaidi nguvu kubwa sana, kuanzia TFF na rais wake, Bodi ya Ligi nk.

Nawakumbusha tu kwamba chekeni na furahini sana kwa sasa kwakuwa rais wa TFF ana affiliation na club ya 5imba. Na urais wa TFF ni wa kupokezana kijiti, Siku akaja rais wa TFF mwenye affiliation na Yanga, Tutakumbushana mithili ya Wahutu walivyowakumbusha watutsi baada ya mzungu kuondoka.

TUTAKUWEPO.
Na huko CAF tunavyofanya poa, ni kwa sababu Rais wa FIFA alisema Simbaaa Nguvu Moyaaa 😀 😀
ukumbuki ile unbeaten yenu makosa kibao yaliwabeba. Acha visingizio bwana mmeishi makundi, halafu unataka kushangaa mnavyoenda kuukosa ubingwa. Tarehe ipangwe tucheze, mkishinda na kuchukua ubingwa sawa.
 
Upo shirikisho na kina Enyimba huko unataka ujilinganishe na Yanga aliyekuwa na kina Al ahly huko, una akili timamu kweli? Pamoja na kubebwa kote bado hauongozi Ligi Mwanaume yupo kileleno na anachukua ubingwa mara ya nne mbele yako! Kweli mbumbumbu ni mbumbumbu. Rage ajengewe sanamu
 
Back
Top Bottom