Adverse Effect
JF-Expert Member
- Oct 8, 2017
- 2,049
- 5,449
Atokee mara ngapi?Kwani bado hajatokea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atokee mara ngapi?Kwani bado hajatokea?
Wabunge wengi wa Muungano wanatoka Tanganyika na Waziri Mkuu anatoka Tanganyika, wakimueeka MTU Kati ni aidha akubaliane nao au avunje Serikali/Bunge, lakini tatizo letu siku hizi ni siasa za uchawa.Kwa madaraka na mamlaka aliyonayo Raissidhani Kama kuna mtu wa kumchunguza akiwa anatapanya mali za Tanganyika na Waziri mkuu hawezi,rejea kauli ya Ndugai na matokeo yake