Siku akitokea Rapa mkali kuliko FID Q naomba mnishtue

Kinumbo

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2019
Posts
3,039
Reaction score
5,560
Nimekuwa mpenzi wa muziki wa hip hop kwa muda mrefu sasa, pia nimewasikiliza ma Rapa wengi sana wa hapa nyumbani na Afrika Mashariki kwa ujumla.

The Real FID Q ndio Rapa nilie tokea kumwelewa zaidi, nyimbo zake ziko professional sana. Mpaka sasa hakuna Rapa mkali kama FID Q, hao wengine wana jaribu jaribu tu ila bado hawajafikia level ya huyo mwamba.

Hii Afrika Mashariki sijaona kabisa Rapa mwenye kufikia ama kuzidi level ya FID Q, naomba siku akitokea ama kama yupo mniambie tafadhali.

Baadhi ya nyimbo zake kama, Neno, Propaganda, Sihitaji marafiki, Ielewe mitaa, Professional nakadhalika humo ametema madini tu.
 
Namkubali Fid Q Kwani anatema point huku katulia ila marapa wengine fujo kibao mara kuruka ruka kama DAX vile sema DAX anapendeza akiomba kwa madoido sio yule sijui mbuzi
 
Nimekuwa mpenzi wa muziki wa hip hop kwa muda mrefu sasa, pia nimewasikiliza ma Rapa wengi sana wa hapa nyumbani na Afrika Mashariki kwa ujumla.

The Real FID Q ndio Rapa nilie tokea kumwelewa zaidi, nyimbo zake ziko professional sana. Mpaka sasa hakuna Rapa mkali kama FID Q, hao wengine wana jaribu jaribu tu ila bado hawajafikia level ya huyo mwamba.

Hii Afrika Mashariki sijaona kabisa Rapa mwenye kufikia ama kuzidi level ya FID Q, naomba siku akitokea ama kama yupo mniambie tafadhali.

Baadhi ya nyimbo zake kama, Neno, Propaganda, Sihitaji marafiki, Ielewe mitaa, Professional nakadhalika humo ametema madini tu.

Ulimbi mbili my fav song [emoji91]
 
U know hu u lov but u don know lovs u ,
tabasam Zaidi ya kufungua mlango wa five star hotel,we ni zaidi ya baraka ka michelle
 
Faida na hasara za usomaji vitabu/maandishi/bookish/bookworm/avid reader...Hasara mojawapo kubwa usipokuwa makini utakuwa unacopy na pia unaelea-elea katika mawazo/mitazamo/fikra na tafiti za watu:Muhimu sana kutazama uhalisia wa mazingira yako na kutokuwa dodoki....FID Q maandishi yake katika nyimbo zake nyingi yanaangukia katika hasara tajwa hapo juu.
 
Back
Top Bottom