Kinumbo
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 3,039
- 5,560
Nimekuwa mpenzi wa muziki wa hip hop kwa muda mrefu sasa, pia nimewasikiliza ma Rapa wengi sana wa hapa nyumbani na Afrika Mashariki kwa ujumla.
The Real FID Q ndio Rapa nilie tokea kumwelewa zaidi, nyimbo zake ziko professional sana. Mpaka sasa hakuna Rapa mkali kama FID Q, hao wengine wana jaribu jaribu tu ila bado hawajafikia level ya huyo mwamba.
Hii Afrika Mashariki sijaona kabisa Rapa mwenye kufikia ama kuzidi level ya FID Q, naomba siku akitokea ama kama yupo mniambie tafadhali.
Baadhi ya nyimbo zake kama, Neno, Propaganda, Sihitaji marafiki, Ielewe mitaa, Professional nakadhalika humo ametema madini tu.