Siku ambayo askari MP alipojitayarisha kumpiga risasi askari Sajenti kwa amri ya Mkuu wa Kambi ya Mgambo JKT

Story za Paukwa pakawa mkuu.
 
Pombe si chai
 
duh!? Noma sana ndio hua sipend kunywa kwenye bar zao
 

Mnatoa siri za jeshi nyie madogo
 
Hata mimi amenishangaza sana
 
Mie mwenye ndo nmetahamaki baada ya kusikia hivi na bado watu wanachangia kama vile story ipo sawa
 
Kwanza hamna Silaha inayoitwa SMG
Bali SMG ni .kundi la silaha za aina fln za upigaji.
Yaan SMG uzi gun
SMG Ak47 nk sasa wewe ulikuwa unamaanisha nini ulivyosema SMG? Na mara luten mara sajent. Aliyehariri story yako hajahariri vzr
Nadhani hii story ni ya miaka 20 iliyopita kama ilivyo hadithiwa, makosa ya kimaandishi wavumilieni.
 
Wakati mwingine sheria za kijeshi zinahitaji reforms.....nchi nyingine kama ujerumani askari anahaki ya kutotii amri ya kamanda wake kama amejiridhisha kuwa amri hiyo ikitekelezwa itakiuka haki za kibinaadamu..
Nazi regime taught them a hard lesson
 
Wakati mwingine sheria za kijeshi zinahitaji reforms.....nchi nyingine kama ujerumani askari anahaki ya kutotii amri ya kamanda wake kama amejiridhisha kuwa amri hiyo ikitekelezwa itakiuka haki za kibinaadamu..
ilo jeshi litakua halitawaliki hakuna nidham
 
Luteni na sajenti ni vyeo viwili tofauti, nani mhusika kutaka kuuwawa? All in all, CO hakuwa na sababu ya kuamrisha mauaji. Alitakiwa kuagiza mp commander amchukue aliegoma kutii anti, apelekwe mahabusu kesho yake mahakama ya kijeshi. Ilikuwa uamuzi wa kilevi na ungemgharimu.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Nzuri io...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…