ntinanigwamvuyekule
Senior Member
- Apr 24, 2019
- 130
- 122
Kuna Jambo kubwa la kujifunza...hii hulka ipo huku makanisani.mchungaji hataki uhoji mlolongo wa maamuzi .ukihoji procedures tu, unatengwa.
Huenda hekima ZAIDI NI kutii na kujifanya mjinga MAANA anaweza fanya maamuzi mabaya Kama usemavyo hapo juu.
Kwa hoja yako huyo luten aliudhiwa na offence iliyojitokeza na siyo kumwagika kwa pombe.mkuu angetatua hiyo offence tu.wanasema ukitaka kujua hasira ya mlevi mwaga pombe yake.hawasemi ukitaka kuona wema wa mlevi lipa pombe yake.