Siku ambayo wife alinipa kipigo cha paka mwizi...

Mungu huwa anapanga sana watu kuepusha wengine kuishi maisha ya gerezani. Haki ingekuwa ni mimi huyo mwanamke huenda angepoteza mfupa mmoja ktk mwili wake. Sms tu anivamie hivyo?
 
Kuna wanawake wagomviwagomvi tu, yaaan shari ju ya sharii,, kelele nyiiingi ndani,, sasa akikutana na mnyonge ndo watu wanasema kalishwa libwata,,

Asa akikutana na wakorofi wenzake ndo haya hutokea,, mm naona ni vizuri ulivopigwa ila siungi mkono hiyo upper cut,, ni bora angekunasa hata kakofi [emoji23]
 
Hahaha unakuwaje romantic wakati una hasira, tena za kupigwa na mke/my wake.

Tena una bahati huyo jamaa hasira zake anaziweza, ungekuta ni mwingine saivi ungekua unatembelea kiti cha matairi.
 
Hahahaha hasira hua haichagui kwa kupiga, kitu kizuri jamaa anaonesha bado yuko vizuri ku control hasira zake, angekuwa mwingine ungekuta bibie ni kilema au tushaanua matanga kitambo.
 
Angenipiga hata kakofi tuuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuning'oa meno tena. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuinua mkono kunipiga... Dharau iliioje. Nakung'oa meno walahi.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Yaani kama unanipiga hakikisha unanivizia na uwe na mbio za kutosha. Then rudi baadae sema nisamehe.
Kitu pekee ninachoshukuru mtu akishaemaga tu samahani. Najawaga na hurama ghafla na nguvu zinaisha.
 
Unamaanisha mimi nakera sana kiasi kwamba baharia kajizuia sana?
Hapana, namaanisha jamaa ana uwezo mzuri wa kucontrol hasira zake baada ya kupigwa na mke/my wake. (Ndio maana alikupiga uppercut moja tu)
Ingekua mwingine ungeishia kuwa mlemavu wa kutembelea kiti cha matairi.
 
Angenipiga hata kakofi tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha "kakofi" huwa unapigwa mkiwa wawili faragha mkilichuma tunda la mti wa katikati.

Uchokozi kama wako unapigwa bonge la kofi mpaka sikio/masikio yanaziba kama sio kua kiziwi.
 
Ha ha haaaa hili eneo bhana! Ila Wanaume lazima mtiwe adabu ya namna hii! Mambo ya kupikiwa chakula special ndo nini? Kwani wake zenu hawapiki speshoo! Michepuko jaman wacheni kuumiza mama mijengo
 
Ha ha haaaa hili eneo bhana! Ila Wanaume lazima mtiwe adabu ya namna hii! Mambo ya kupikiwa chakula special ndo nini? Kwani wake zenu hawapiki speshoo! Michepuko jaman wacheni kuumiza mama mijengo
Wangeyaongea tu, asa mambo ya kupigwa kichwani sio poa kabisa,, je angempasua macho jamaa kazi angefanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…