Siku ambayo wife alinipa kipigo cha paka mwizi...


[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
 
Wadada mnawapata wapi hawa wanaume mnaowapiga? Mwenzenu Siku nilijaribu nikaambulia "uppercut".
Mume akakutandika "uppercut"?[emoji23][emoji23][emoji23] Meno/kidevu yalikuwa na usalama kweli..
 
Sasa tufanyaje? Tunapasua tu maana bila hvyo mnakuwa na dharauuu..chakula special aaaggrrrh mama mijengo lazima wapate hasira aiseee hata ngekuwa mie najua mcheeepuuukooo tuuu
Wangeyaongea tu, asa mambo ya kupigwa kichwani sio poa kabisa,, je angempasua macho jamaa kazi angefanyaje?
 
Japo hata mimi ilinikuta ila alinipiga kibao cha kustukiza, maana aliniamsha usiku ghafla tu nina mawenge kibao ananiuliza najiuma uma, ghafla kanipiga kofi (Ila nilimuachia tu sababu huwa sipigi mwanamke, nikipiga naweza kuuwa kabisa.).

Sasa jambo lingine katika huu uzi lImenizindua na kunipa faida, nikajisemea moyoni, hivi ingetokea siku nikapewa kazi, "Bwana Zurri embu tuandikie neno 'frying pan' kuna laki mbili hapa" aisee hii laki mbili ningeikosa kabisa. Maana huwa najua ni "Flampeni". Shukrani kwa hili mzee.
 
Sasa tufanyaje? Tunapasua tu maana bila hvyo mnakuwa na dharauuu..chakula special aaaggrrrh mama mijengo lazima wapate hasira aiseee hata ngekuwa mie najua mcheeepuuukooo tuuu
Una hasira sana [emoji23]
 
Ile siku nilipanga mengi sana. Nilitafuta lirungu nikalificha ndani.
Nikasema akisinzia nampa kubwa moja. Ila hasira zikaisha.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haki nimecheka, hadi rungu[emoji119][emoji119][emoji119]
 
We subiri, ile frampeni atakuwa ameenda kuchongesha nzito nzito maana punda haendi bila fimbo.
 
Kitendo cha kupigwa siku ya 1 na ukatulia kile kitakutesa kwenye maisha yako kwa muda mref Amin kwamba ulionyesha udhaifu sana na atakutandika tena siku nyingine, ulitakiwa umuonye siku ileile
Huyo mke haji kumpiga tena, mabanzi aliyompa ndiyo adabu yake
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kipigo cha frypan kilikufanya urudi kwenye factory setting
 
Nyinyi wanawake muda mwingine mnakera sana, unaweza kuta mwanaume anajiepusha msigombane na anapenda sana mwelewane. Nyie mnaona haitoshi, mnatafuta ugomvi bila sababu, halafu mtu akichukia basi roho zenu kwatuu..... Huyo ugomvi hakuuona siku nyingi, alikuwa anatikisa kiberiti sasa baruti zikasuguana kikalipuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…