Siku Bima ya Afya kwa wote ikianza ndiyo utagundua wananchi wengi walikuwa wanatibiwa kwa Mwamposa na kwa waganga!

Unavyodhani ni kosa la nani hadi watu wengi(Watanzania wagonjwa)wajisalimishe kwa Mwamposa na waganga-mwitu?
 
kwani itakua ni bure na ni lazima?
 
Hahahaha. 'Wagombea wote wa na nafasi wa uenyekiti wa CCM Wilaya ni professionals'. Nchi ngumu hii, ndoto nyingi lakini hazitimiagi.. NHIF ishatangazwa mufilis bwashe.
 
Utawalipia wewe hiyo bima?
 
Bima ya afya kwa wote ni Ujamaa.

Ni “socialism” kisahihi. Kama ile ya nchi za Scandinavia. Au mlengo wa kiitikadi wa Democrats USA na Labour Party ya UK.

Ujamaa ulikuwa ukomunisti in disguise. Ndio sababu ya Nyerere kupiga chenga tafsiri yake kwa kiingereza akidai haipo. Katika ujamaa ni “afya bure” kwa wote inayolipiwa [emoji817] na dola. Hakuna cha bima wala kuchangia gharama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…