johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Wanaita Degedegendio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaita Degedegendio
Mara moja moja anaweza kumbushia. Sio wa kuwaamini hao.Mwakipande aliokoka na kuchoma moto tunguli zake
Mikoba alimrithisha kijana wake Jah people!Mara moja moja anaweza kumbushia. Sio wa kuwaamini hao.
Na kujitegemeaBima ya afya kwa wote ni Ujamaa.
Unavyodhani ni kosa la nani hadi watu wengi(Watanzania wagonjwa)wajisalimishe kwa Mwamposa na waganga-mwitu?Sina hakika kama wananchi wengi huwa hawaugui, ila ninachofahamu ni kwamba wananchi maskini walio wengi hutibiwa kwa akina Mwamposa, kwa waganga wa kienyeji au hunywa tu mwarobaini.
Hivyo Bima ya Afya kwa wote itaimarisha afya za Watanzania kwa sababu wote watatibiwa hospital kwa huduma za kisasa kabisa.
Mungu wa mbinguni awabariki.
Ni kosa la PutinUnavyodhani ni kosa la nani hadi watu wengi(Watanzania wagonjwa)wajisalimishe kwa Mwamposa na waganga-mwitu?
Ndiye aliye kwenye fungate?Mikoba alimrithisha kijana wake Jah people!
Huyo huyoNdiye aliye kwenye fungate?
Akamatwe,afungwe kamba,akimbizwe kindumbwendumbwe huku anasimangwa na kupigwa makofi ya hapa na pale.Ihakikishwe ameomba pooh na kuapa kutorudia uhasidi kama huo.Ni kosa la Putin
kwani itakua ni bure na ni lazima?Sina hakika kama wananchi wengi huwa hawaugui, ila ninachofahamu ni kwamba wananchi maskini walio wengi hutibiwa kwa akina Mwamposa, kwa waganga wa kienyeji au hunywa tu mwarobaini.
Hivyo Bima ya Afya kwa wote itaimarisha afya za Watanzania kwa sababu wote watatibiwa hospital kwa huduma za kisasa kabisa.
Mungu wa mbinguni awabariki.
Imebidi nicheke kwanza kwa hili swali challengeable. Lakini wanasayansi watakujibu kwamba hakuna mapepo.Hospitali wanatibu mapepo?
Hahahaha. 'Wagombea wote wa na nafasi wa uenyekiti wa CCM Wilaya ni professionals'. Nchi ngumu hii, ndoto nyingi lakini hazitimiagi.. NHIF ishatangazwa mufilis bwashe.Sina hakika kama wananchi wengi huwa hawaugui, ila ninachofahamu ni kwamba wananchi maskini walio wengi hutibiwa kwa akina Mwamposa, kwa waganga wa kienyeji au hunywa tu mwarobaini.
Hivyo Bima ya Afya kwa wote itaimarisha afya za Watanzania kwa sababu wote watatibiwa hospital kwa huduma za kisasa kabisa.
Mungu wa mbinguni awabariki.
Kisayansi mapepo ni DegedegeImebidi nicheke kwanza kwa hili swali challengeable. Lakini wanasayansi watakujibu kwamba hakuna mapepo.
Yawezakuwa hata malaria iliyopanda kichwani.Kisayansi mapepo ni Degedege
Nayo ni mapepo piaYawezakuwa hata malaria iliyopanda kichwani.
Utawalipia wewe hiyo bima?Sina hakika kama wananchi wengi huwa hawaugui, ila ninachofahamu ni kwamba wananchi maskini walio wengi hutibiwa kwa akina Mwamposa, kwa waganga wa kienyeji au hunywa tu mwarobaini.
Hivyo Bima ya Afya kwa wote itaimarisha afya za Watanzania kwa sababu wote watatibiwa hospital kwa huduma za kisasa kabisa.
Mungu wa mbinguni awabariki.
Kwani kodi wanalipiwa na nani?Utawalipia wewe hiyo bima?
Bima ya afya kwa wote ni Ujamaa.