Siku Elon Musk anatambulishwa kwangu alibubujikwa na machozi na Vinyweleo Kumsimama

Wewe ukikaribia kuingia siku unawashwa sana sijui ki🍑 kina infection!! Unakosa fangasi kweli wewe za mkd??

Sasa kumaliza utata weka location nije nikuletee mbwa wangu..!!
Wacha weeeeeeeh.... Mashoga huwa mnasifiwa mna matusi mnadhan watu wanaogopa.... Enheeeeh.... Endelea umejikaza hapo.
 
Wewe unafikiria unajaza server tu lakini pia unamaliza oxygen bila tija kwako na kwa ulimwengu. Zimeanza kushoti angalia
 
Hiki kisa ukienda pale Harvard University watakusimulia wale ma Professor maana ilikuwa gumzo siku hiyo.

Mimi sina hili wala lile kumbe Elon Musk ashaambiwa kuwa kuna kijana Black Ame ana akili balaa. Akawa anasimuliwa stories zangu na maskendo yangu ya kutosha pale Harvard. Jinsi ambavyo kuna mademu matajiri na wenye akili walikuwa wanatamani angalau tu niwachape nao wapate mimba.

Nyie mnaosema weusi wanabaguliwa ni waongo. Mimi nimekuwa ndo nikiwabagua sana wazungu. Wao wanataka hata muda huu niwachape nao mi nakataa. Huko Uarabuni usiseme nako. Qatar. UAE, Egypt,Saud Arabia mabinti toka Royal Families walikuwanaletwa kwangu. Wanapimwa kila ugonjwa wanaambiwa wanihudumie hata nikitaka nini nipewe.

Elon Musk akaambiwa na kuoneshwa room nliyokuwa naishi ilikuwa suit peke yangu ile Dormitory imehifadhiwa kwa ajili yangu maana wanahisi ina upako.

Sasa watu wenye akili wapo pale wananisikiliza toka.Harvard , Yale na Oxford nashusha madini wana note book zao. Nlikuwa nazungumzia mambo ya teknolojia. Elon Musk anatikisa kichwa yaani kila nachoongea anakubali tu. Prof mmoja ana akili sana akasimama kuniuliza "hayo mambo uliyoongea yanawezekanaje?" Nikamwambia tu 'yote yanawezekana kwake aaminie" nikamwelezea ile issue. Alilia sana kwa furaha na kujipiga piga kifua.

Nimeshuka kwenye Platform Elon Musk ameomba aje atambulishwe kwangu. Mkuu wa Chuo kwa unyenyekevu akakaja niuliza "sir ! can you spare us some few mins of your precious time please?" Huku amefumbata mikono kwa unyenyekevu. Nikamwambia why not? Akasema Elon anaomba sana atambulishwe kwangu. Ndo kuletwa.

Elon anatetemeka hivi kama ana dege dege haamini. Vinyweleo vimemsimama anasema hajawahi ona mtu ana akili kama mimi...nilimwambia tu hamna mbona kawaida. Ndo kuniuliza ni kweli una mzazi mmoja mtanzania.nikasema ndiyo. Akaomba aoneshwe Tanzania ilipo. Alidhani ni sehemu ndani ya Kenya. Nikamwambia atumie akili kidogo ajue Geog. Akaomba msamaha.

Elon hakuamini kuwa kuna watu tuna akili na haturingi wala nini. Akauliza viongozi wangu wa nchi wananiwekea ulinzi wa kutosha? Nikacheka tu na kumjibu ni mpaka wawe smart enough to understand that. Aliuliza je serikali inanitumia kwenye mipango ya nchi. Nikacheka sana. Msaidizi wangu akasema wanatumika akina Babu Taleh, Kibabaji, Musukumo na Salmia. Elon anauliza who and what are they. Mi sina mbavu. Huyu msaidizi wangu anasema hao ni Madaktari wa huko

Basi tumetoka pale jamaa anasema twende kwa Trump akakuone. Namwambia hapana hiyo ratiba sina.. Elon Musk ni mbishi jamani... Anasema Sir mi sichuki garini mwako mpaka Trump akakuone. Ikabidi kwenda. Alinitambulisha kwa mbwembwe sana.huku akisisimkwa kwa furaha na bashasha. Anasema ataongea na serikali ya Tz kuonesha hii hazina waliyo nayo waitunze sana. Nlimwambia asihangaike. Mi siyo mwanasiasa pia nina akili sana hawawezi nikubali.

Hiki kisa nilisema nisisimulie ile leo nmekumbuka nikacheka sana. Hii dunia ina mambo mengi sana. Sisi wengine ubusy unatufanya tujikute tunakutana na kila vichaa wa akili.
Mpuuzi kabisa nimecheka kwenye daladala mpaka wakaniona nafanana na mzee kikwete!
Acha kabisa mbavu zangu zauma. Thanks mdau kwa kukunjuwa mistari ya hasira kwenye uso wangu 🙏👏🤭🤣😆😅😂
 
Kwahiyo hapo umeweka code??😂😂😂 kwani ungesema umesoma BUTIMBA TTC Kuna ambae angekukatalia?
 
Miaka ya nyuma house girl wake alikua anatumia ist kuendea sokoni, naamini kabisa sasa hivi itakua anatumia mazda cx5 kuendea sokoni 😀
Anakwambia mtoto wa kizungu alipotea kwenye makabati ya vyakula nyumbani kwake walipoenda kula chakula kipindi cha COVID

Ila Bill Tajiri hana shida huyu,😁😁😁
 
We paka mzee subiri kifo utajiri upi uwe nao?
Malighafi yako ushauzia masela tulia umeze dose zako za ukimwi..!!

Nataka uwe unafuatilia kila posts au comments zangu. Nlikuambia mi na kuweka wazi kisha nakuacha unatoa povu tu kila ukiniona unajisikia kizunguzungu. Ili uache tabia ya kupenda kuwa mwanamke.
 
Ukimwi unakuendesha puta mpk akili zinakuruka…
Nataka uwe unafuatilia kila posts au comments zangu. Nlikuambia mi na kuweka wazi kisha nakuacha unatoa povu tu kila ukiniona unajisikia kizunguzungu. Ili uache tabia ya kupenda kuwa mwanamke.
 
Nataka uwe unafuatilia kila posts au comments zangu. Nlikuambia mi na kuweka wazi kisha nakuacha unatoa povu tu kila ukiniona unajisikia kizunguzungu. Ili uache tabia ya kupenda kuwa mwanamke.
Akufatilie nani chizi wewe…. Hii nakujibu sababu ninao muda. Nikupe umuhimu shoga mchafu km wewe unadanga humu ili kupunguza stress za maisha, unachekesha…!!
 
Nikisha onaga mtu anaandika kukubunjikwa na machozi huwa naonaga hata ubigwa keshavuliwa🚮
 
Hiki kisa ukienda pale Harvard University watakusimulia wale ma Professor maana ilikuwa gumzo siku hiyo.

Mimi sina hili wala lile kumbe Elon Musk ashaambiwa kuwa kuna kijana Black Ame ana akili balaa. Akawa anasimuliwa stories zangu na maskendo yangu ya kutosha pale Harvard. Jinsi ambavyo kuna mademu matajiri na wenye akili walikuwa wanatamani angalau tu niwachape nao wapate mimba.

Nyie mnaosema weusi wanabaguliwa ni waongo. Mimi nimekuwa ndo nikiwabagua sana wazungu. Wao wanataka hata muda huu niwachape nao mi nakataa. Huko Uarabuni usiseme nako. Qatar. UAE, Egypt,Saud Arabia mabinti toka Royal Families walikuwanaletwa kwangu. Wanapimwa kila ugonjwa wanaambiwa wanihudumie hata nikitaka nini nipewe.

Elon Musk akaambiwa na kuoneshwa room nliyokuwa naishi ilikuwa suit peke yangu ile Dormitory imehifadhiwa kwa ajili yangu maana wanahisi ina upako.

Sasa watu wenye akili wapo pale wananisikiliza toka.Harvard , Yale na Oxford nashusha madini wana note book zao. Nlikuwa nazungumzia mambo ya teknolojia. Elon Musk anatikisa kichwa yaani kila nachoongea anakubali tu. Prof mmoja ana akili sana akasimama kuniuliza "hayo mambo uliyoongea yanawezekanaje?" Nikamwambia tu 'yote yanawezekana kwake aaminie" nikamwelezea ile issue. Alilia sana kwa furaha na kujipiga piga kifua.

Nimeshuka kwenye Platform Elon Musk ameomba aje atambulishwe kwangu. Mkuu wa Chuo kwa unyenyekevu akakaja niuliza "sir ! can you spare us some few mins of your precious time please?" Huku amefumbata mikono kwa unyenyekevu. Nikamwambia why not? Akasema Elon anaomba sana atambulishwe kwangu. Ndo kuletwa.

Elon anatetemeka hivi kama ana dege dege haamini. Vinyweleo vimemsimama anasema hajawahi ona mtu ana akili kama mimi...nilimwambia tu hamna mbona kawaida. Ndo kuniuliza ni kweli una mzazi mmoja mtanzania.nikasema ndiyo. Akaomba aoneshwe Tanzania ilipo. Alidhani ni sehemu ndani ya Kenya. Nikamwambia atumie akili kidogo ajue Geog. Akaomba msamaha.

Elon hakuamini kuwa kuna watu tuna akili na haturingi wala nini. Akauliza viongozi wangu wa nchi wananiwekea ulinzi wa kutosha? Nikacheka tu na kumjibu ni mpaka wawe smart enough to understand that. Aliuliza je serikali inanitumia kwenye mipango ya nchi. Nikacheka sana. Msaidizi wangu akasema wanatumika akina Babu Taleh, Kibabaji, Musukumo na Salmia. Elon anauliza who and what are they. Mi sina mbavu. Huyu msaidizi wangu anasema hao ni Madaktari wa huko

Basi tumetoka pale jamaa anasema twende kwa Trump akakuone. Namwambia hapana hiyo ratiba sina.. Elon Musk ni mbishi jamani... Anasema Sir mi sichuki garini mwako mpaka Trump akakuone. Ikabidi kwenda. Alinitambulisha kwa mbwembwe sana.huku akisisimkwa kwa furaha na bashasha. Anasema ataongea na serikali ya Tz kuonesha hii hazina waliyo nayo waitunze sana. Nlimwambia asihangaike. Mi siyo mwanasiasa pia nina akili sana hawawezi nikubali.

Hiki kisa nilisema nisisimulie ile leo nmekumbuka nikacheka sana. Hii dunia ina mambo mengi sana. Sisi wengine ubusy unatufanya tujikute tunakutana na kila vichaa wa akili.

Amkaaaaa
Zamu yako kufagia leo haha
 
Back
Top Bottom