Siku Elon Musk anatambulishwa kwangu alibubujikwa na machozi na Vinyweleo Kumsimama

Nataka uwe unafuatilia kila posts au comments zangu. Nlikuambia mi na kuweka wazi kisha nakuacha unatoa povu tu kila ukiniona unajisikia kizunguzungu. Ili uache tabia ya kupenda kuwa mwanamke.
Sema unapenda kunifatilia halafu muda huo mwenzio nakuchukulia km taahira lipo kujitibu sonona zake za maisha…!!
 
Hiki kisa ukienda pale Harvard University watakusimulia wale ma Professor maana ilikuwa gumzo siku hiyo.

Mimi sina hili wala lile kumbe Elon Musk ashaambiwa kuwa kuna kijana Black Ame ana akili balaa. Akawa anasimuliwa stories zangu na maskendo yangu ya kutosha pale Harvard. Jinsi ambavyo kuna mademu matajiri na wenye akili walikuwa wanatamani angalau tu niwachape nao wapate mimba.

Nyie mnaosema weusi wanabaguliwa ni waongo. Mimi nimekuwa ndo nikiwabagua sana wazungu. Wao wanataka hata muda huu niwachape nao mi nakataa. Huko Uarabuni usiseme nako. Qatar. UAE, Egypt,Saud Arabia mabinti toka Royal Families walikuwanaletwa kwangu. Wanapimwa kila ugonjwa wanaambiwa wanihudumie hata nikitaka nini nipewe.

Elon Musk akaambiwa na kuoneshwa room nliyokuwa naishi ilikuwa suit peke yangu ile Dormitory imehifadhiwa kwa ajili yangu maana wanahisi ina upako.

Sasa watu wenye akili wapo pale wananisikiliza toka.Harvard , Yale na Oxford nashusha madini wana note book zao. Nlikuwa nazungumzia mambo ya teknolojia. Elon Musk anatikisa kichwa yaani kila nachoongea anakubali tu. Prof mmoja ana akili sana akasimama kuniuliza "hayo mambo uliyoongea yanawezekanaje?" Nikamwambia tu 'yote yanawezekana kwake aaminie" nikamwelezea ile issue. Alilia sana kwa furaha na kujipiga piga kifua.

Nimeshuka kwenye Platform Elon Musk ameomba aje atambulishwe kwangu. Mkuu wa Chuo kwa unyenyekevu akakaja niuliza "sir ! can you spare us some few mins of your precious time please?" Huku amefumbata mikono kwa unyenyekevu. Nikamwambia why not? Akasema Elon anaomba sana atambulishwe kwangu. Ndo kuletwa.

Elon anatetemeka hivi kama ana dege dege haamini. Vinyweleo vimemsimama anasema hajawahi ona mtu ana akili kama mimi...nilimwambia tu hamna mbona kawaida. Ndo kuniuliza ni kweli una mzazi mmoja mtanzania.nikasema ndiyo. Akaomba aoneshwe Tanzania ilipo. Alidhani ni sehemu ndani ya Kenya. Nikamwambia atumie akili kidogo ajue Geog. Akaomba msamaha.

Elon hakuamini kuwa kuna watu tuna akili na haturingi wala nini. Akauliza viongozi wangu wa nchi wananiwekea ulinzi wa kutosha? Nikacheka tu na kumjibu ni mpaka wawe smart enough to understand that. Aliuliza je serikali inanitumia kwenye mipango ya nchi. Nikacheka sana. Msaidizi wangu akasema wanatumika akina Babu Taleh, Kibabaji, Musukumo na Salmia. Elon anauliza who and what are they. Mi sina mbavu. Huyu msaidizi wangu anasema hao ni Madaktari wa huko

Basi tumetoka pale jamaa anasema twende kwa Trump akakuone. Namwambia hapana hiyo ratiba sina.. Elon Musk ni mbishi jamani... Anasema Sir mi sichuki garini mwako mpaka Trump akakuone. Ikabidi kwenda. Alinitambulisha kwa mbwembwe sana.huku akisisimkwa kwa furaha na bashasha. Anasema ataongea na serikali ya Tz kuonesha hii hazina waliyo nayo waitunze sana. Nlimwambia asihangaike. Mi siyo mwanasiasa pia nina akili sana hawawezi nikubali.

Hiki kisa nilisema nisisimulie ile leo nmekumbuka nikacheka sana. Hii dunia ina mambo mengi sana. Sisi wengine ubusy unatufanya tujikute tunakutana na kila vichaa wa akili.
Hakika mkuu.
Ninaweza pata kazi hata ya kuwa nina kunja side mirrors za gari zako tu mkuu?
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Eti alidhania Tanzania ni sehemu ya Kenya.
 
Afadhali tajiri umekuja, tulikaa kinyonge sana dah!

Kuna watoto wa 2020 hawakufahamu nimeona hapo juu wanakufananisha wewe na bwege mmoja wa humu anaitwa Lucas Msambwanda! Nimelia sanaaa😭😭😭😭😭 naomba radhi kwa ajili yao tajiri
Hakika nami naungana na wewe ktk kuwaombea msamaha huku nikiendelea kulia.
 
Oooh...wamekuja vijana wapya humu? Anyway wakusanye waje kufanya tour home kwangu wakatembelee kwenye friji zangu (cold room) na makabaki ya vyakula. Nimemkumbuka yule dogo mmoja alipotelea kwenye kabati la chakula kipindi kile cha covid 19
😂😂😂😂😂 Alipakua chakula kingi mpaka kikamzidi uzito.
 
Akufatilie nani chizi wewe…. Hii nakujibu sababu ninao muda. Nikupe umuhimu shoga mchafu km wewe unadanga humu ili kupunguza stress za maisha, unachekesha…!!
Nataka uwe unafuatilia kila posts au comments zangu. Nlikuambia mi na kuweka wazi kisha nakuacha unatoa povu tu kila ukiniona unajisikia kizunguzungu. Ili uache tabia ya kupenda kuwa mwanamke.
 
Akauliza viongozi wangu wa nchi wananiwekea ulinzi wa kutosha? Nikacheka tu na kumjibu ni mpaka wawe smart enough to understand that. Aliuliza je serikali inanitumia kwenye mipango ya nchi. Nikacheka sana. Msaidizi wangu akasema wanatumika akina Babu Taleh, Kibabaji, Musukumo na Salmia. Elon anauliza who and what are they. Mi sina mbavu. Huyu msaidizi wangu anasema hao ni Madaktari wa huko
😁😁 tajiri ukitua bongo tutakukamatia JNIA
 
Hiki kisa ukienda pale Harvard University watakusimulia wale ma Professor maana ilikuwa gumzo siku hiyo.

Mimi sina hili wala lile kumbe Elon Musk ashaambiwa kuwa kuna kijana Black Ame ana akili balaa. Akawa anasimuliwa stories zangu na maskendo yangu ya kutosha pale Harvard. Jinsi ambavyo kuna mademu matajiri na wenye akili walikuwa wanatamani angalau tu niwachape nao wapate mimba.

Nyie mnaosema weusi wanabaguliwa ni waongo. Mimi nimekuwa ndo nikiwabagua sana wazungu. Wao wanataka hata muda huu niwachape nao mi nakataa. Huko Uarabuni usiseme nako. Qatar. UAE, Egypt,Saud Arabia mabinti toka Royal Families walikuwanaletwa kwangu. Wanapimwa kila ugonjwa wanaambiwa wanihudumie hata nikitaka nini nipewe.

Elon Musk akaambiwa na kuoneshwa room nliyokuwa naishi ilikuwa suit peke yangu ile Dormitory imehifadhiwa kwa ajili yangu maana wanahisi ina upako.

Sasa watu wenye akili wapo pale wananisikiliza toka.Harvard , Yale na Oxford nashusha madini wana note book zao. Nlikuwa nazungumzia mambo ya teknolojia. Elon Musk anatikisa kichwa yaani kila nachoongea anakubali tu. Prof mmoja ana akili sana akasimama kuniuliza "hayo mambo uliyoongea yanawezekanaje?" Nikamwambia tu 'yote yanawezekana kwake aaminie" nikamwelezea ile issue. Alilia sana kwa furaha na kujipiga piga kifua.

Nimeshuka kwenye Platform Elon Musk ameomba aje atambulishwe kwangu. Mkuu wa Chuo kwa unyenyekevu akakaja niuliza "sir ! can you spare us some few mins of your precious time please?" Huku amefumbata mikono kwa unyenyekevu. Nikamwambia why not? Akasema Elon anaomba sana atambulishwe kwangu. Ndo kuletwa.

Elon anatetemeka hivi kama ana dege dege haamini. Vinyweleo vimemsimama anasema hajawahi ona mtu ana akili kama mimi...nilimwambia tu hamna mbona kawaida. Ndo kuniuliza ni kweli una mzazi mmoja mtanzania.nikasema ndiyo. Akaomba aoneshwe Tanzania ilipo. Alidhani ni sehemu ndani ya Kenya. Nikamwambia atumie akili kidogo ajue Geog. Akaomba msamaha.

Elon hakuamini kuwa kuna watu tuna akili na haturingi wala nini. Akauliza viongozi wangu wa nchi wananiwekea ulinzi wa kutosha? Nikacheka tu na kumjibu ni mpaka wawe smart enough to understand that. Aliuliza je serikali inanitumia kwenye mipango ya nchi. Nikacheka sana. Msaidizi wangu akasema wanatumika akina Babu Taleh, Kibabaji, Musukumo na Salmia. Elon anauliza who and what are they. Mi sina mbavu. Huyu msaidizi wangu anasema hao ni Madaktari wa huko

Basi tumetoka pale jamaa anasema twende kwa Trump akakuone. Namwambia hapana hiyo ratiba sina.. Elon Musk ni mbishi jamani... Anasema Sir mi sichuki garini mwako mpaka Trump akakuone. Ikabidi kwenda. Alinitambulisha kwa mbwembwe sana.huku akisisimkwa kwa furaha na bashasha. Anasema ataongea na serikali ya Tz kuonesha hii hazina waliyo nayo waitunze sana. Nlimwambia asihangaike. Mi siyo mwanasiasa pia nina akili sana hawawezi nikubali.

Hiki kisa nilisema nisisimulie ile leo nmekumbuka nikacheka sana. Hii dunia ina mambo mengi sana. Sisi wengine ubusy unatufanya tujikute tunakutana na kila vichaa wa akili.
Mpaka unandika hapa una miaka mingapi tangu uzaliwe??
 
Sema unapenda kunifatilia halafu muda huo mwenzio nakuchukulia km taahira lipo kujitibu sonona zake za maisha…!!
Nataka uwe unafuatilia kila posts au comments zangu. Nlikuambia mi na kuweka wazi kisha nakuacha unatoa povu tu kila ukiniona unajisikia kizunguzungu. Ili uache tabia ya kupenda kuwa mwanamke
 
Unalazimisha kujibiwa, mimi sipendi machoko kanukashaneni mav huko kwenu..!!
Toka baba yako aliyekutindua kufariki naona unaparamia watu hovyo..!!

We jichanganye km hujadinywa mpk ufe
 
Kadinywe na waganga wa kienyeji mkd kunuka weeh..!!
Ukimwi wako una kupeleka puta
 
Back
Top Bottom