Siku hizi Baraza la Mawaziri halikai?

Siku hizi Baraza la Mawaziri halikai?

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
7,914
Reaction score
10,793
Wadau nina siku nyingi sana nazani takribani mwaka mzima bila kuona Baraza la Mawaziri likiwa limeketi.

Wanakaa kwa siri? ama siku hizi halipo?

Embu wakae wajadili walau hari ya chakula hapa nchini na maisha magumu kwa wananchi.

Huku mtaani kama uchaguzi ukiitishwa leo CCM watatafutana wenyewe kwa wenyewe.
Hari si hari.

Ila hawataki kabisa kusikia ukweli hawa walamba asali.
 
Ila hawataki kabisa kusikia ukweli hawa walamba asali.
Vikao vya baraza la mawaziri kwani huwa wanapiga mbiu mkuu? Si wanaitana kwa email au hata whatsup? Wewe unataka ujue kuna hoja unataka kuipeleka au? Mpe hoja hiyo mwakilishi wako (Mbunge) atafikisha.
 
Kikao kinatambulika kikatiba. Kinatakiwa kifanyike nasi tujue kinafanyika. Kama hakipo basi kuna shida.
 
Matatizo hayawezi kuondolewa na akili zile zilizoyaweka.
 
" They Don't Care About Us " Michael Jackson
 
Kwa hiyo CCM wakitafutana maanake chadema ndo wanashindana au cuf
 
Back
Top Bottom