Vikao vya baraza la mawaziri kwani huwa wanapiga mbiu mkuu? Si wanaitana kwa email au hata whatsup? Wewe unataka ujue kuna hoja unataka kuipeleka au? Mpe hoja hiyo mwakilishi wako (Mbunge) atafikisha.Ila hawataki kabisa kusikia ukweli hawa walamba asali.
Kikao kinatambulika kikatiba. Kinatakiwa kifanyike nasi tujue kinafanyika. Kama hakipo basi kuna shida.Vikao vya baraza la mawaziri kwani huwa wanapiga mbiu mkuu? Si wanaitana kwa email au hata whatsup? Wewe unataka ujue kuna hoja unataka kuipeleka au? Mpe hoja hiyo mwakilishi wako (Mbunge) atafikisha.