Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Tukisumbuliwa tunalalamika, tukirahisishiwa mapema tunalalamika tena.mapema sio lazima iwe papo kwa papo. Urahisi wa kunjunja umekua rahisi sana mpaka inashtua
Kwa hiyo unatongoza ili ukataliwe.hawa wadada wa siku hizi, neno hapana halimo kabisa kwenye kamusi zao!
hata jogoo kuna mitembe hua inabidi mpaka aikimbize ndio aipande.Kwan kwa kiutaratibu inatakiwa kuwaje
Mkuu,ni ukarimu tu umeongezeka uchoyo umepotea,
kwani kuna ubaya kwenye jambo zuri na muhimu kama hili kutumia muda mfupi kulikamilisha na kufikia muafaka 🐒
wapi hukoKwetu huku bado wapo wengi tu.
Kazi sanapole sana, lazima una shida fulani sio bure. Sikuhizi hakuna anayesema hapana
Na watoto wa siku hizi ukisema uloweke tu..ujue dozi ya Azuma au power safe inakuhusu ndani ya wiki moja..kuna shida sehemuKuna watu mnapenda ugumu, umemtongoza mtu au umeonesha nia ya kutaka tunda iwe mapema au kwa kuchelewa akikubali kuna shida gani? Sasa ulimtongoza yanini?
Kuna haja gani ya kuchelewesha mauzo ya azuma.
ningeverifie id mambo haya muhimu sana ya kijamii nisingekua nayapata kabisa aise...Mkuu,
Wewe unatoaga nyuzi nzurii nzurii za siasa kumbe na huku upo 🙂☺️
Ni vizuri Sanaa mkuuningeverifie id mambo haya muhimu sana ya kijamii nisingekua nayapata kabisa aise...
actually hii pia ni siasa,
lakini yenyewe sasa ni siasa ya mapenzi, hua na kuja kuchota uzoefu na kuongeza uelewa na ufahamu kidogo kuhusu nisiyoyajua kwenye mahusiano ya kimapenzi, uchumba na ndoa 🐒
kuna mambo na elimu nzito na muhimu sana humu aise, kwahiyo nipo pia mara chache chache gentleman...
kwaio unapenda walainiMimi ndio
Yani maji mara moja kama maharage ya mbeyakwaio unapenda walaini
Shida ipo kubwa sana, mi natembeaga nazo.Na watoto wa siku hizi ukisema uloweke tu..ujue dozi ya Azuma au power safe inakuhusu ndani ya wiki moja..kuna shida sehemu
That's why unatembea na azuma kila angleYani maji mara moja kama maharage ya mbeya
Sio azuma, natembea na ndomThat's why unatembea na azuma kila angle
zinapasuka izo bwanSio azuma, natembea na ndom
Zikipasuka itafahamikazinapasuka izo bwan
Kulikuwa na namna sahihi ya kupresent hoja zako bila kuhusianisha Azuma😁Kuna watu mnapenda ugumu, umemtongoza mtu au umeonesha nia ya kutaka tunda iwe mapema au kwa kuchelewa akikubali kuna shida gani? Sasa ulimtongoza yanini?
Kuna haja gani ya kuchelewesha mauzo ya azuma.
Uko wapi......Moja kwa moja kwenye mada.
Sijui wamekuaje hawa wadada wa siku hizi, neno hapana halimo kabisa kwenye kamusi zao! Mtu unakutana nae tu ukimsemesha vizuri anakupa utamu. Zamani unafukuzia demu mpaka unamchukia unampotezea mwenyewe ila sikuhizi ukimwangalia tu mdada ukizubaa anaweza hata akakutongoza mwenyewe!
Tatizo liko wapi? Wapo wengi sana? Ugumu wa maisha? Ny*ge zinawasumbua? Pepo la ngono limewavaa (maana hata huko kwa manabii wanawake ndio wanaojazana). Kwakweli ni shida!
Kwasasa narindima live kutokea hapa mwamapuli.