Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Tukisumbuliwa tunalalamika, tukirahisishiwa mapema tunalalamika tena.mapema sio lazima iwe papo kwa papo. Urahisi wa kunjunja umekua rahisi sana mpaka inashtua
Binafsi sipendi usumbufu mambo yawahi kupunguza kudanganyana kwingi na gharama.