Siku hizi hawajui kusema hapana

Mpaka uwe na pesa ndo hawasemi hapana
 
mbona wapo wanakataa eg ephen kwa yule mzee jirani yao
 
Ngoja, kwahiyo mwanamke kusema ndio ni tatizo? Wakianza kuwakataa wanaume si mtakuja hapa tena kusema wanabania?

Me nadhani ungelaumu tabia ya wanawake wa sasa kuwa na double life ya mahusiano. Huku anajinasibu ni mpenzi wako ila mkiagana akienda kwao kesho jioni amelala kwa mwanaume mwingine.

Hiyo ndio dosari yao kubwa.
 
Tatizo ni uhuru usio na mipaka na ubepari, ukiongezea na sera ya Beijing wana uhuru wa kuuza ngono bila hata kusemwa, ukikosoa tu biashara ya ukahaba utaandamwa sana. Yaani hadi tendo la ndoa limebinafsishwa ni biashara huria sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…