umechelewa kujua, hii imeanza siku nyingi karibia miaka ishirini. Kuna makanisa yana vikapu vitano vikubwa unatakiwa utoe kila kikapu kina sadaka yake. Pamoja na kuwa na utitiri wa sadaka haitukatishi tamaa kwenda kusali, tutatoa sadaka tuliyonayo kwa siku hiyo na Mungu atatambua utoaji wetuUnaingia kanisani na shida zako kwa kutegemea upunguziwe mastress ya maisha matokeo yake unaenda kubebeshwa madeni tena.
Kanisa siku nzima linachangisha fedha, bado kuna sadaka kama 7 hivi aloo. Hawa majamaa hapana aisee. Mungu hajaagizo mambo ya hivyo. Sadaka ni hiari ya mtu ila siku hizi unapangiwa hadi kiwango.
Kama ni hiyari unalalamika nini sasa na hujalazimishwa kutoa 🐒Unaingia kanisani na shida zako kwa kutegemea upunguziwe mastress ya maisha matokeo yake unaenda kubebeshwa madeni tena.
Kanisa siku nzima linachangisha fedha, bado kuna sadaka kama 7 hivi aloo. Hawa majamaa hapana aisee. Mungu hajaagizo mambo ya hivyo. Sadaka ni hiari ya mtu ila siku hizi unapangiwa hadi kiwango.
hata wa mangi moshi tukienda sadaka kama kawaida
Hakuna ibada ambayo haina sadaka..Hata kwa waganga kabla hujafanya chochote utatoa sadaka.
Ibrahim maisha yake yalizungukwa na sadaka. Alifahamika kama mtu wa sadaka, kila alipopita alijenga madhabahu na kumtolea Bwana sadaka.
Kikubwa usitoe kwa shuruti toa kwa kusukumwa kutoka moyoni.
Watu wa Mungu wanapata Kwa kutoa, Hawatoi ili wapate.
kama hutaki kutoa sadaka acha kwenda kanisani mkuuUnaingia kanisani na shida zako kwa kutegemea upunguziwe mastress ya maisha matokeo yake unaenda kubebeshwa madeni tena.
Kanisa siku nzima linachangisha fedha, bado kuna sadaka kama 7 hivi aloo. Hawa majamaa hapana aisee. Mungu hajaagizo mambo ya hivyo. Sadaka ni hiari ya mtu ila siku hizi unapangiwa hadi kiwango.
Nenda kwa waganga.Unaingia kanisani na shida zako kwa kutegemea upunguziwe mastress ya maisha matokeo yake unaenda kubebeshwa madeni tena.
Kanisa siku nzima linachangisha fedha, bado kuna sadaka kama 7 hivi aloo. Hawa majamaa hapana aisee. Mungu hajaagizo mambo ya hivyo. Sadaka ni hiari ya mtu ila siku hizi unapangiwa hadi kiwango.
Zaka na sadaka,Tena ujenzi,matendo ya huruma,,huduma ya mchundaji,dorkas,ahh tutafika tuu!Unaingia kanisani na shida zako kwa kutegemea upunguziwe mastress ya maisha matokeo yake unaenda kubebeshwa madeni tena.
Kanisa siku nzima linachangisha fedha, zbado kuna sadaka kama 7 hivi aloo. Hawa majamaa hapana aisee. Mungu hajaagizo mambo ya hivyo. Sadaka ni hiari ya mtu ila siku hizi unapangiwa hadi kiwango.
Wewe unaweza fungua biashara yako halafu usiwe unaongelea bei ya bidhaa zako!?Unaingia kanisani na shida zako kwa kutegemea upunguziwe mastress ya maisha matokeo yake unaenda kubebeshwa madeni tena.
Kanisa siku nzima linachangisha fedha, bado kuna sadaka kama 7 hivi aloo. Hawa majamaa hapana aisee. Mungu hajaagizo mambo ya hivyo. Sadaka ni hiari ya mtu ila siku hizi unapangiwa hadi kiwango.