Kulikuwa na asili ya Warusi waishio Mbagala na Buza ni jina walilopewa kwenye mijadara ya mitandao ya kijamii mpaka hapa JF.
Hawa Warusi wa Buza na Mbagara kipindi vita inaanza tulikuwa tunawagopa sana kwa habari zao na jinsi walivoipa urusi uchambuzi na propaganda zao kuhusu putin.
Ila mpaka 2025 naona kama wamekuwa chawa wa mama kwenye mada zao sio Urusi tena.