Bwana Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 4,401
- 9,555
Daaah umeuza ramani ya vita mkuuHuku bei ni mserereko kabisa.
Malipo ya mwezi ni kitonga kwelikweli..
Endeleeni na bei zenu za alfu 28 kwa mwezi. Endeleeni kukamuliwa..
Daaah umeuza ramani ya vita mkuuHuku bei ni mserereko kabisa.
Malipo ya mwezi ni kitonga kwelikweli..
Endeleeni na bei zenu za alfu 28 kwa mwezi. Endeleeni kukamuliwa..
Kingine?Kwa huu uanithi ambao viongozi waislamu mmeufanya ni wazi mtakwenda kupigwa chini hakuna atakaye taka muislamu kuwa kiongozi wala mwanamke 😁
Umeanza na mzanibar ukaja na muislamu mpaka kwa mwanamke. Mbona kama unachuki ya muda mrefu?Kwa huu uanithi ambao viongozi waislamu mmeufanya ni wazi mtakwenda kupigwa chini hakuna atakaye taka muislamu kuwa kiongozi wala mwanamke 😁
Mijadala gan ya maana haswa zaid utake kuwatapali watu katafute kazi ya halali ufanye acha fikra za kimaskinUkiona wanaume tuna mijadala yetu ni bora ukakate vitunguu tu usidandie dandie utadandia bamia
ChaiHuku bei ni mserereko kabisa.
Malipo ya mwezi ni kitonga kwelikweli..
Endeleeni na bei zenu za alfu 28 kwa mwezi. Endeleeni kukamuliwa..