Siku hizi ujanja ni kutafuta Azam Tv ya Burundi au Malawi

Ila watanzania bana ukute mmepishana elf mbili tu lakin watu wamepata mihemuko tufanyen Kaz kuzisaka Kwa Hali hii bado sisi ni maskin
 
Kwa huu uanithi ambao viongozi waislamu mmeufanya ni wazi mtakwenda kupigwa chini hakuna atakaye taka muislamu kuwa kiongozi wala mwanamke 😁
Umeanza na mzanibar ukaja na muislamu mpaka kwa mwanamke. Mbona kama unachuki ya muda mrefu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…