Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Pole sana mkuu. Sisi wanawake siku hizi hatujatulia kabisa. Mtu haridhiki na mmoja. Tamaa za maisha mazuri ilihali huna uwezo.Wadada wanakagua tu comment za wanaume,kimya kimya
wawajue wale chovya chovya ni akina nani, mimi hata simpingi
mtoa mada,naunga hoja mkono maana hawa shenzi wamenifanya
nikachomwe sindano ya TAKO tena ni 25k sindano 1 imeniuma hiyooooo
yani naiwazie ile hela halafu tako langu kanichungulia yule mama aseee
mimi nimechunguliwa mimi kisa sindano kwa uchafu wa jitu? aiseeee inauma
Mkuu FUNGUA thread ingine koleza wino ili waelewe mi nakuja ku comment
Mimi siwezi kupiga punyeto niache kutmba wanawakeLinda afya yako, linda pesa yako, karibu CHAPUTA.
😃😃😃😃 Ukweli nilijaribu nyeto wakati nipo chuo, na nulishindwaa kabisaa, maana sikuwa mzee wa makojo nilishindwa kabisaa kutazama yale mapichaKumbe hujai-master nyeto vzr mzee,nyeto inapigwa zaidi hata ya Mara 3 kwa siku mpk inatoka hewa tu.😄😄
Safi sana... hiyo ni habri nzuri kutoka kwa wataalamu...Of course ndo maana hukuti UTI kwa mashoga
Siogopi....nilitaka ufafanuzi wa UTI inavyopatikana. Nazila sana Mkuu.......hiyo ndiyo shughuli yangu haswa.....ila kila siku tunajifunza, si ndio? ili tuzile vizuri zaidi.....🤣🤣🤣 mpemba gani unaogopa kula tigo wewe?
Swadaktaaaaaaaa.......Raha ya Nanga itoke na tope yakheeeee.
Wewe umeongea elimu ya ndani sana.Afya ni muhimu ila kuna kitu cha mhimu zaidi, ngono huua nafsi, yaani ukiwa mzinzi unakua kubwa jinga, nafsi inakufa na akili haikui tena. Utakuta mzee mzinzi anaongea kama teenager, uzinzi ni sumu mbaya sana. Nafsi ikishakufa kuua mwili ni sekunde tu, hata chupa moja ya pombe inatosha kumalizia kuua mwili. Sema vijana hatufundishwi hivi vitu tunajiendea tu mwisho tunapotea kwenye ramani
Nani kakuambia UTI inachubua ulimi? Tumia tuKuna mikoa inaongoza kwa hili tatizo, mmojawapo ni Rukwa, usithubutu
Vijana hasa kwenye majiji makubwa kama dsm wanajiita mabaharia ila wee tazama mwisho wao, wengi hupotea mapema. Ngono ipo kama cocaine, haichelewi kumfanya kijana wa kiume teja. Hapo anageuka lofa analala na yeyote kisha anajiona mjanja anastarehe kinoma, kadri mda unavyoenda anasahau malengo yake anafokasi kwenye uteja wa ngono mwisho anakata tamaa anapotea mazima. Angalia wasanii walioendekeza ngono wako wapi? Mfano mr nice, chid, tid nk. Ngono ni kitu cha kuwa makini nacho kweli kweli. Ndo mlango wa kufungulia mabalaa ya kummaliza kijana mwenye future kubwaWewe umeongea elimu ya ndani sana.
Vingine vya kiroho pia, na madhars yake huja taratibu na hudumu mda mrefuTunachukuliaga kutafunana kizembe Sana ila tunagawana vingi Sana vingine ni vya kudumu