Siku hizi ukitembea na mwanamke zikapita siku mbili mwanaume hujaona chochote kwenye uume unamshukuru Mungu

Kweli kabisa malipo hapa hapa duniani. Dah sasa mzee sober house ya ngono ipo wapi hapa tz vijana tukapate tiba
Kwanza kataa hilo pepo la uzinzi na umalaya, utawale mwili wako, mimi nilipata tabu mwanzoni ila baadae nikakaa sawa. Tafuta hobie mpya mfano michezo au dini. Mimi nilikimbilia kwenye dini, nikaamua niwe serious na malengo yangu na ibada ndo nikachomoka kwenye huo uteja. Kinachokuponza ni huo uhuru ulio nao, unautumia vibaya kwa kulala na yeyote maana hakuna wakukuuliza wala kukupangia. Oa kama huna mke na umaanishe kutulia. Kabla ya kuoa kaa kama mwaka hivi bila ngono huku ukiriview maisha yako ujiulize kwanini mpaka sasa upo duniani na Mungu anaendelea kukupa oxygen ya bure, pia jua hayo maisha yako huru utayatolea hesabu siku ukifika kwa aliekupa hii pumzi unayoitumia kungonoka hovyo
 
Adui mkuu ni uhuru, ukiwa na uhuru wa kufanya chochote utakuja jikuta umekuwa si lolote. Kataa uhuru, jiweke chini ya malezi. Jua jema na baya. Jiweke chini ya mtu anaeweza kukulea na kukukemea ukianza kupotea. Ni ngumu ila fanya hivyo
 
Sema mwanawane. Tumepewa ushauri hapo murwa kabisa. Uzinzi sio dili tuoe jamani. Tatizo napo kuoa ndio uwe una maisha basi tabu tupu. Huna hela hustaili kupata mke ndio dunia ya sasa. Ukienda chaputa nakonshida vile vile. Ulimwengu wa shida tupu huu
Kabisa swala la kupata mke n hela na maisha yawe yametulia ila kwa vijana wengi maisha yetu kuyaendesha tu ni magumu unakuta mtu anadondokea kununua malaya/chaputa.
 
Tatizo tunaoaje wakati maisha yetu yenyewe hayaeleweki. Ukifuata mrembo ndio kam hivyo wanakupiga chini tuu
 
Adui mkuu ni uhuru, ukiwa na uhuru wa kufanya chochote utakuja jikuta umekuwa si lolote. Kataa uhuru, jiweke chini ya malezi. Jua jema na baya. Jiweke chini ya mtu anaeweza kukulea na kukukemea ukianza kupotea. Ni ngumu ila fanya hivyo
Unamanisha uwe na baba wa kiroho?
 
Hakuna starehe expensive kama hiyo, uzinzi ni gharama kweli kweli
Kabis aisee kitu kisicho kuwa na faida
Uzinzi ni gharama kubwa jay, jiulize mtu mzinzi halafu mlevi, alewe yeye, amleweshe na huyo mwanamke, kisha akalipie chumba, baada ya hapo ampatie pesa. Ni mlolongo mrefu.

Hata asiye mlevi, ukiwa siyo mlevi inamaana wewe huokoti wa bar, matokeo yake utakuwa nao wa permanent. Ukiwa na vibinti viwili tu, vitataka uhudumie, vocha, vitasema havijala, vitataka kwenda kusuka, na vingine vitataka ununue gesi na ulipie kodi ya chumba..

In the long run, utajikuta muda na pesa ambazo ungewekeza kwa ajili ya future yako na familia yako umezitumia kwa ajili ya kumridhisha 'Zakaria'.
 
Nyongeza; mda unapotea kwenye kugonga na kutongoza pia unatumia akili nyingi kwenye kunasa pisi kali mpya kuliko kunasa dili jipya la hela. Unapoteza focus
 
Shida sio kuoa ndugu shida umebeba Nini moyoni ( subconscious mind ) mwako.
Unawaza Nini ukimuona mwanamke ambae sio wako.
 
Unajuaje Kama hauna,, Tena aina ya watu uloweka avatar ndo wanaongoza kwa gonno hao

We mwenyewe unakuta unaugulia ila hujui

Kingne unakuta we ni mbovu hakuna wa kukusumbua akuletee gono

Cocumber friend
Sijawahi kuumwa gono na sijui Linakuwaje usidhani kilamtu anaumwa Gono kma unavoumwa wew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…