blance86
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 2,138
- 5,632
Dawa nzuri ya U T I ni ipi mkuuWadada wa age hiyo wanatumika sana na wengi ni hawa wa kiasasa waliozaliwa 95-2005
Halafu usafi hawazingatii wanakalia kupodoa sura na kujali chura ionekane. Mikononi wanamakucha ya Ghalama uchafu huko chini lazima wawe na magonjwa.
Ushauri wangu namba C,B, A wanafaa zaidi maana wanajitambua au tumieni kinga