Siku hizi ukizubaa tu getini kwako panageuzwa kijiwe cha bodaboda

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Kila kituo cha Daladala Dar es salaam kuna kijiwe kikubwa cha bodaboda.

Na kituo kimoja kikubwa unaweza kupata vijiwe vya bodaboda vitatu mpaka vitano.

Kila kwenye shughuli za kijamii lazima kuna kijiwe cha bodaboda.

Kama family ina trips nyingi za kutumia bodaboda, si ajabu bodaboda wakaweka kijiwe cha kudumu getini kwako.

Swali langu ni lile lile la siku zote.

Je, serikali imekubali kwa moyo mweupe kuwa kazi ya bodaboda ni ajira rasmi katika nchi hii?
Chekechea mwaka 1
Primary miaka 7
Secondary miaka 4
Advanced secondary miaka 2
University miaka 3

Jumla miaka 17, huyo ni smart in class na hajaumwa aliyepigwa rounds atapata degree kwa miaka 18- 19.

Anakuja kufanya kazi ya bodaboda ambayo amefundishwa kwa masaa 3.
 
Hii kazi ina faida zake na hasara.

Faida mojawapo inarahisisha usafiri.

Hasara kubwa ni risk yake, ukiipanda unakuwa upo mlangoni mwa Sir God.

Yote Tisa Kumi. Lema alikuwa na hoja!!
 
Hao vijana bodaboda wakiwa wazee watakuwa na afya mgogoro hasa kipengele cha mapafu na uti wa mgongo.
 
Sana. Naelewa vijana wanatafuta kazi na ni muhimu wajipatie kipato. Maisha ni magumu na kila kazi ipewe heshima yake. Kuna vijana wa boda ni wastaarabu sana. Ila kuna wengine ni jamani ni kichomi. Na kama haitoshi anafanya boda na bado ni mwizi vilevile.
 
Kila kituo cha Daladala Dar es salaam kuna kijiwe kikubwa cha bodaboda.

Na kituo kimoja kikubwa unaweza kupata vijiwe vya bodaboda vitatu mpaka vitano.

Kila kwenye shughuli za kijamii lazima kuna kijiwe cha bodaboda.

Kama family ina trips nyingi za kutumia bodaboda, si ajabu bodaboda wakaweka kijiwe cha kudumu getini kwako.

Swali langu ni lile lile la siku zote.

Je, serikali imekubali kwa moyo mweupe kuwa kazi ya bodaboda ni ajira rasmi katika nchi hii?
Chekechea mwaka 1
Primary miaka 7
Secondary miaka 4
Advanced secondary miaka 2
University miaka 3

Jumla miaka 17, huyo ni smart in class na hajaumwa aliyepigwa rounds atapata degree kwa miaka 18- 19.

Anakuja kufanya kazi ya bodaboda ambayo amefundishwa kwa masaa 3.
Bodaboda ni chombo cha watekaji kuwafikia walengwa kirahisi. Timua bodaboda mtaani kwako ili uwe Salaam
 
Back
Top Bottom