Siku hizi UTI sugu na Gono vimejificha kwa mabinti wale warembo sana, kuweni makini

Timekwisha!😫😰😢
 
Unaona sasa... kumbe kazi yako ni kutoa chiu
 
Yaan unamaanisha wewe pia ni mmoja wapo kati ya hao?
Wapi nimesema ni mmoja wapo?
Tatizo wabongo hatusomi na ku update bongo zetu juu ya taarifa muhimu hasa zinazoakisi mustakabali wetu hasa elimu ya masuala ya ngono
Vijana tunafanya ngono zembe na elimu hatuna na hatutaki kujifunza. Nimekua nafundisha dada poa kuchoma chanjo ya homa ya ini. Hii ni hatari nyingine vijana wako ktk hatari kutokana na ngono. Na hii ni majimaji ya ukeni au ya uume kama mtu anayo basi anamuambikiza mwenzake kwa urahisi. Kingine rough sex inawaweka watu ktk hatari ya maambukizi.
 
Hii kiboko na ndio wengi wanaipenda bila kumsugulia chuma vizuri kikamkolea anakuona km Mrembo mwenzie tu
kikubwa pasiwe pakavu. ujue mtizamo mbaya tu wa jamii yetu kwamba mtu akinunua Ky basi mfiraji 🤣🤣. Mimi nlikua nanunua kwa ujasiri kabisa mbele za watu..sabab manzi wangu alikua mkavu sana mkipiga shoo dk 2 anakua mkavu sa maisha yenyewe haya nipotezee muda kwenye mbususu wkt tofar zinanisubir kesho sait aah siwez..ni kupaka ky kwenye papuch nasukuma mzigo...kifuatach Dj waleteeee
 

Ndio pakiwa pakavu unatoka na ngozi mzee hizo cheche zake sio mchezo tena ukute ngozi zichanganyokane na zile steel wire kule chini damu zitavuja mtu atatembea mgulupande
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…