Siku hizi UTI sugu na Gono vimejificha kwa mabinti wale warembo sana, kuweni makini

Wala sio bahati mbaya ndg,ni makusudi mazima.kuna siku nilijifanya nimelewa nikajikosesha makusudi nikaweka mshale kwenye jicho la nyuma ..wee baada ya siku tatu nikaona kitu cheupe kama usaha kwenye tundu la kutolea mkojo daa niliogopa Sana,nilijua ni gono ila nikaambiwa ni fungus hupatikana sehemu ya haja kubwa,baharia nikajiongeza japo sikumwambia daktari kwamba niliruka ukuta.yapata mwaka umepita nawaza kwenda kupima lile gonjwa lenyewe(HIV) moyo unasita.kwakweli pombe sio kitu kizuri unaweza kuteketeza familia kwa ujinga ujinga tu!
 
Mwambie manzi wako atumie karafuu ataach kuwa mkavu๐Ÿฅณ๐Ÿฅณ๐Ÿฅณ
 
Hizi sabuni nyingi zina ua bacteria wazuri ili kuwalinda wanawake na maambukizi hasa fangasi , kuwa msafi kupitiliza ni hatari mno kwa afya ya kule chini , mwanamke akiwa na afya njema kule chini kuna njia yake ya kujisafisha yenyewe , kuna kale kaharufu ka asili kanaonyesha kuwa mtu huyu huko chini kuna afya yakutosha , wale wanaume barubaru wanaoishi na beki tatu wameshaelewa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ