- Thread starter
- #81
Sijui labda wamekulia mazingira gani ila nilichojifunza sometimes husi mdharau mtu na sijilaumu ndiyo watu niliokuwa nao mimi nimesaidiwa na mtu darasa saba dereva nina jamaa yangu anakakaa Kigogo Luhanga,kasaidiwa na mzee mlinzi choka mbaya leo hii ana support system ya SAP.Kuna sehemu nimesoma imeonesha amemaliza chuo na ana kazi yake kabisa, hata mimi ambae jobless sina maisha ambayo jamaa alivyo aiseeee.
Hata kama mtu unajua, sasa ndo kuweza kuyamimina kiasi kweli?
Ila si shangai wengine wakishua, ila si wengine ndio watu tuliokuwa nao.