Nina jamaa yangu Yusuf mtoto wa Mazenze Mzaramo halisi yeye anakwambia niite Yusuf hataki unafiki na msikitini anaingia kama kawaida anakwambia Mungu ndiye anajua imani yake.anaitwa Musa ila akiwa chimbo la mdudu anajitambulisha kama mosses
"sympathy" ndiyo nini?Huwa mnasema hivi siku zote hii ni style yenu ya kutafuta sympathy kwa wanaowajua.
Kama hoja ni hiyo basi hakuna atakaekuwa muislam even you kwa sababu wote mnatenda dhambi zile zile wanazotenda wengine eg uzinzi,wizi,usengenyaji roho mbaya uchawi chuki nk.
Kwa hiyo anafanya dhambi kwa ajili yako, au ni "rafiki" yako wa kushirikiana dhambi?Nina jamaa yangu Yusuf mtoto wa Mazenze Mzaramo halisi yeye anakwambia niite Yusuf hataki unafiki na msikitini anaingia kama kawaida anakwambia Mungu ndiye anajua imani yake.
Shida jamii kubwa sisi wenye hizi imani huwa kuna wakati huwaona wenzetu kiimani kama wamekengeuka sanaa kwa sababu wametenda dhambi au wameenda tofauti na katazo fulani ktk dini tukijisahau na sisi at some points zipo dhambi mbaya na chafu zaidi tunazitenda juu ya nafsi zetu
Hata ukijifanya kujitoa ufahamu najua nilichokiandika umekielewa."sympathy" ndiyo nini?
Zanzibar kuna chimbo nimewahi kula mbuzi katoliki na aliyenipeleka ni mshkaji wangu ambae kipindi hicho alikua Zanzibar University. Huyu jamaa ni ustaadhi na tulikula nae.Nijuavyo Mimi,kwa sasa katika zama hizi za utandawazi,smartphones, na mambo mengi ya kisasa yamekuja kutikisa Imani(dini) kwa kiasi kikubwa sana.
Kwa upande wa ukristo hali imekuwa mbaya zaidi kuliko upande wa uislamu. Ila nako muda si mrefu mambo yataanza kuharibika na mmomonyoko utainekana wazi wazi.
Nimeshukudia waislamu sasa hivi wakiuza mafuta kama kwa mwamposa kwenye mikutano/mihadhara yao wanayoiita "daawa" na wanatembea mkoa kwa mkoa.
Swala la vijana wa kiislamu kula nguruwe sasa hivi limekua la kawaida sana,Wala si la kushangaa Tena.
Zanzibar kidoogo nguruwe ni hadimu sana na anaingizwa kwa magendo kama madawa ya kulevya,ila nako Kuna watu wanakula vizuri tu.
Nimeyaona maandishi yako hayaendani na ulichowndikq ndiyo maana nikakuuliza.Hata ukijifanya kujitoa ufahamu najua nilichokiandika umekielewa.
Na wewe huwa unakula naye?Yuko dereva mmoja anakula sana kitimoto anaitwa Halifa
Kawmu luutwi mbona huzungumziiSitasema vijana wote wa kiislam. Coz nitahitaji more proof lakini hii ina ukweli mno sababu 70% ya hao ambao sikutarajia wataagiza msosi huo waliuagiza na wanazitafuna bila haya.
Sijui ni nini kimewapata vijana hawa ambao wengine mchana wanaitwa ustaadh na kanzu wanazo.
Nina hakika kuna shida sehemu.
Mada ni kitimoto.Binadam anatakiwa awe na mfumo kamili wa maisha, mwongozo wetu tunaupata ndani ya Qur’an.
Kitabu kisicho na shaka ndani yake.
Hakuna kisiyemuhusu.
😂😂😂Yaani muarabu aibuke jangwani na kubuni Uislamu kisha aamrishe watu wasikule nyama ya nguruwe.
Halafu huyo muarabu alikua na vituko mara agegede katoto ka miaka tisa.
Soma uelewe usisome ili ujibu rudi kasome nilichoandika.Kaa hiyo anafanya dhambi kwa ajili yako, au ni "rafiki" yako wa kushirikiana dhambi?
Zanzibar kitimoto inaliwa vizuri sana na baadhiwaislamu. Ila inauzwa kama bangi.Zanzibar kuna chimbo nimewahi kula mbuzi katoliki na aliyenipeleka ni mshkaji wangu ambae kipindi hicho alikua Zanzibar University. Huyu jamaa ni ustaadhi na tulikula nae.
Kwa hiyo anafanya dhambi kwa ajili yako, au ni "rafiki" yako wa kushirikiana dhambi?Soma uelewe usisome ili ujibu rudi kasome nilichoandika.
Nimekwambia yeye kitu anachokifanya kama wewe utakiona ni dhambi sana huku wewe unafanya unachohisi siyo dhambi kubwa kama yake bado hujajisaidia mwisho wa siku wote mmetenda dhambi kwa Mungu so usijaribu kumtoa mtu kwenye imani kisa unahisi ana dhambi sana.
Na wewe unawafata watu badala ya kufata Qur'an?Zanzibar kitimoto inaliwa vizuri sana na baadhiwaislamu. Ila inauzwa kama bangi.
Miaka hii swala la Imani limekuwa mtihani mkubwa sana,Imani imeshuka miongoni mwa watu.
Watu hawafuati maagizo ya vitabu vya dini.
Waislamu wasiosoma wanaburuzwa hasa ila waislamu wanaokesha usiku na mchana kusoma dini yao huwezi wakuta kwenye hayo mafuta wala mashekhe wapigaji wa sampling hiyo, wachilia mbali kitu kama nguruwe.Nijuavyo Mimi,kwa sasa katika zama hizi za utandawazi,smartphones, na mambo mengi ya kisasa yamekuja kutikisa Imani(dini) kwa kiasi kikubwa sana.
Kwa upande wa ukristo hali imekuwa mbaya zaidi kuliko upande wa uislamu. Ila nako muda si mrefu mambo yataanza kuharibika na mmomonyoko utainekana wazi wazi.
Nimeshukudia waislamu sasa hivi wakiuza mafuta kama kwa mwamposa kwenye mikutano/mihadhara yao wanayoiita "daawa" na wanatembea mkoa kwa mkoa.
Swala la vijana wa kiislamu kula nguruwe sasa hivi limekua la kawaida sana,Wala si la kushangaa Tena.
Zanzibar kidoogo nguruwe ni hadimu sana na anaingizwa kwa magendo kama madawa ya kulevya,ila nako Kuna watu wanakula vizuri tu.