Siku hizi vijana wengi wa kiislam wanakula nguruwe bila hata hofu

Tena wengi wanapendelea rost na ndizi 3.Nilisahau tena kuna uyo anakuja na mboga mboga zake za majani achanganyiwe kwenye ROST Sio poa ukiwakuta. Na 7 mm nawajua.hawakosi kila wkend!!
All the best
 
Ndio jambo pekee walokengeuka kutokana na miiko ya imani yao? Mi naona sio jambo la kufungulia thread, kuna maovu mengi yanayofanywa na vijana wote bila kuhusisha imani zao. Kuna namna utasaidia ukikemea maovu kwenye jamii bila kuhusisha itikadi na imani za watu.
Ni hayo tu Kiongozi!
 


Kwani si nyama sasa ndo wasile. Nguruwe ni kama maji lazima uyanywe. Naongea in ccm voice!!!
 
Binadam tumepewa mwongozo wa maisha na Muuumba wetu, mwongozo usio na shaka ndani yake ni Qur'an.

Wewe unaufata mwongozo wa Qur'an?
 
Wee yule mdudu mtamu aisee
 
SASA HAPO CHA AJABU NI NINI AU UNACHUKI TU NA DINI YETU ...KWA HABARI YAKO SIYO TUNAKULA TU NGURUWE BALI TUNA FUTURU FUTARI YA NGURUWE KABISA LABDA TATIZO LAKO NI KUTOKUTUJA WAISIHARAMU NI KINA NANI?
 
Hao ni "waislam" kwa majina lakini siyo wa Kiislam kwa vitendo.
Mimi mwenyewe swala tano,lakini mdudu wa taifa namtafuna vizuri.

Wewe endelea kujitesa mwanyazi mungu allah hana ugomvi na mbuzi katoliki.Kuna kijikundi kidogo sana ambacho badala kujishughulisha na masuala ya msingi kama kujiandaa kunywa pombe tamu tamu na bikira 72 wanapataabu na mdudu wa taifa.
 
Binadam tumepewa mwongozo wa maisha na Muuumba wetu, mwongozo usio na shaka ndani yake ni Qur'an.

Wewe unaufata mwongozo wa Qur'an?
 
Waislamu wasiosoma wanaburuzwa hasa ila waislamu wanaokesha usiku na mchana kusoma dini yao huwezi wakuta kwenye hayo mafuta wala mashekhe wapigaji wa sampling hiyo, wachilia mbali kitu kama nguruwe.
Hapa hoja siyo waislamu wasiosoma au wanaosoma.

Ni hivi;

kukua kwa teknolojia,mitandao na mambo mengi ya kisasa yamepelekea kushusha Imani za watu wengi sana,iwe waislamu au wakristo. Na Huku kwa wakristo hali ni mbaya zaidi,watu wametoka kwenye misingi ya mafundisho ya "ukristo" na kufanya wanavyojisikia.

Huku kwenye uislamu ndiyo unaanza kuwa bleached sasa hivi. Mfano uislamu wa ulaya umekuwa diluted,una umagharibi. Uislamu wa Morocco na uturuki umelegeza vitu vingi kuliko uislamu wa Africa na nchi zingine za kiarabu.

Ukikutana na waislamu wa america hasa waliotoka kwenye dini zingine na kuhamia kwenye uislamu ndiyo utacheka zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…