Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Yaani ukipita huko Instagram ndio utajua matatizo ya ajira pamoja na afya ya akili ni makubwa sana.
Wadada wa mjini a.k.a Maslay Queen wameibuka na kamtindo ka kwenda airport na mabegi makubwa kupiga picha na kupost Instagram ili kutafuta attention na aonekane yeye ni wa hadhi ya juu ili shughuli zake za ujasiriamali (kudanga) ziwe rahisi.
Mdada anatoka zake Kigogo sambusa au Buza kwa lulenge na begi lake kubwa kwenye daladala mpaka Kipawa airport anashuka anaenda pale nje Terminal 3 anapiga picha zake za kutosha anageuza zake nyumbani na kuedit picha zile kisha anazipost mtandaoni.
Afya ya akili ni tatizo kubwa sana linalokua kwa kasi hivi karibuni hasa kwa dada zetu hawa wa mjini.