Siku hizi Wadada wanaenda kupiga picha na mabegi Airport

Siku hizi Wadada wanaenda kupiga picha na mabegi Airport

[emoji23][emoji23] hao ndo maslay queen bhanaa,,,. Halafu watoe hao wa sambusa na buza. Hawana hayo mambo kabisa, wao waambie vijora na vigodoro bs, huo muda wa kwenda airport wanautoa wapi???. Watu km wakina uwoya ndiyo wa kuwaweka hapo,, maana wanatafuta pesa kupitia miili yao, ni lazima wapendeze haswaaa Ili kuuzika sokoni.
 
Hivi wanaruhusu kupiga picha ndan ya ndege ata kama usafir????
 
Waanze kulipia sasa kumbe wakipita hapa tunajua wanasafiri kumbe ndio hivyo,Halafu muwaambie basi wawe hata na Timingi na ndege zinazoruka na Kutua nilikuwa najua wanawahi mapema kumbe ndio hivi.....
 
[emoji23][emoji23] hao ndo maslay queen bhanaa,,,. Halafu watoe hao wa sambusa na buza. Hawana hayo mambo kabisa, wao waambie vijora na vigodoro bs, huo muda wa kwenda airport wanautoa wapi???. Watu km wakina uwoya ndiyo wa kuwaweka hapo,, maana wanatafuta pesa kupitia miili yao, ni lazima wapendeze haswaaa Ili kuuzika sokoni.
Kuna siku nilikuta wadada flani hivi wa mjini nikajua wanasafiri kumbe wanapiga picha za kuuzia sura
 
Kuna clip nliona,kn dada anasema nyumba kwa mwezi analipia mln 7
Na blahblah kibao
Ukimuangalia tu anaonekana ubongo wake hauko sawa

Ova
Ahaahaa cyo nyumba tu anadai kwamba yeye Huwa anaogeshwa anamlipa anaemwogesha 20mil.!jinsia yoyote alafu hataki kwenda kwao singida anajipanga kwanza siku akienda awagawie walau 5 mil @wanakijiji wote....
 
Unaweza ona wajinga ila kuna mambwiga wanakamatika kipuuzi kama hivyo.

Jinga jinga na vihela vyake akiona mdada yupo airport anaongeza dau la kuhonga hivyo hivyo akidhani ni matawi ya kimataifa kumbe kuku ya kienyeji.

Pia huyo unaemuona mshamba ukute keshakunja mpunga wa maana toka kwa zee moja lipenda dogo dogo kwa ajili ya kwenda kufunga mzigo wa biashara ambayo haipo.
Hapo hapo ikiwa mmoja keshatoa hela ya mzigo kuna mwingine kupitia picha hizo hizo anatoa pesa ya kugombolea mzigo, ikimaanisha kwa bwana mmoja anakwenda safari na kwa mwingine karudi toka safari.

Wazungu wana kamsemo kao 'The end justifies the means'. Ikiwa mwisho wa siku dhamira ya kupata pesa imetimia, haijalishi ni njia gani ilitumika kupata pesa hizo. Mjinga hasa ni ile midume inayohonga kijinga jinga.
Mkuu nchi ina watu wa hovyo kila kada cyo vijana2 hta wazee wa hovyo nao wapo, eb fikiria pisi tunayokula kinondoni kwa wahaya kwa buku4 Harmonize yeye kainunulia Range 2 kwa mpigo wajinga walikuepo na wataendelea kuepo
 
Ahaahaa cyo nyumba tu anadai kwamba yeye Huwa anaogeshwa anamlipa anaemwogesha 20mil.!jinsia yoyote alafu hataki kwenda kwao singida anajipanga kwanza siku akienda awagawie walau 5 mil @wanakijiji wote....
Duh

Ova
 
Yaani ukipita huko Instagram ndio utajua matatizo ya ajira pamoja na afya ya akili ni kubwa sana.

Wadada wa mjini a.k.a Maslay Queen wameibuka na kamtindo ka kwenda airport na mabegi makubwa kupiga picha na kupost Instagram ili kutafuta attention na aonekane yeye ni wa hadhi ya juu ili shughuli zake za ujasiriamali (kudanga) ziwe rahisi.

Mdada anatoka zake Kigogo sambusa au Buza kwa lulenge na begi lake kubwa kwenye daladala mpaka Kipawa airport anashuka anaenda pale nje Terminal 3 anapiga picha zake za kutosha anageuza zake nyumbani na kuedit picha zile kisha anazipost mtandaoni.

Afya ya akili ni tatizo kubwa sana linalokua kwa kasi hivi karibuni hasa kwa dada zetu hawa wa mjini.
Wanaitangaza Tanzania,huu ndio utalii wa ndani si lazima kwenda Loliondo tu, wacha watu wapige picha airport,watu tumeona watu wakipiga picha airport mbalimbali duniani sembuse hii ya kwetu?
 
Hivi wanaruhusu kupiga picha ndan ya ndege ata kama usafir????
Mkuu kwani wewe hujawahi panda ndege kwa maana hilo swali anatakiwa aulize ambaye anapanda akina Kimbinyiko
 
Back
Top Bottom