Siku hizi Wadada wanaenda kupiga picha na mabegi Airport

Siku hizi Wadada wanaenda kupiga picha na mabegi Airport

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]aiseeee inaonekana yashakutokea mkuu
Pole sana
unakaalika kamtu usiku mmoja tu, asubuhi ikifika kamejikunyata kwenye blanket hata mpango wa kuondoka hakana. Ukikaacha, mchana ukiangalia status zake unakuta keshapost 'chilling at home' kipindi hicho kapo kwenye sofa yako kamejiachia kama kanajua bei yake.
Vimtu vya hivi unaweza jikuta unakitoa na fimbo. huwa vibishi kuondoka balaa.
 
Bila picha mzee huo n uwongo mtupu kuwasingizia dada zangu
Haya

Ova
IMG-20220622-WA0002.jpg
 
Kuna huyo alikuwa anakuja ofisini kwetu kupiga picha. Hahahaa!!
 
Wadogo zetu wakiona hizo picha plus picha za kwenye mahoteli wanachanganyikiwa na shule wanaona zinawachelewesha wakati watu wanakula maisha.

Mitandao inaweza kukufanya uhisi wewe ndiye umefail maisha peke yako unasubiri kamshahara ambako mtu ananunulia vocha
Sio tu hao wanaosoma
Hata sisi wengine tunajiona tumefail mbona tunajituma lakini hatuoni hela wala hatuli bata kumbe watu wanaigiza maisha ila tunaoumia sisi.
 
Ahaahaa cyo nyumba tu anadai kwamba yeye Huwa anaogeshwa anamlipa anaemwogesha 20mil.!jinsia yoyote alafu hataki kwenda kwao singida anajipanga kwanza siku akienda awagawie walau 5 mil @wanakijiji wote....
Mmmmh
 
Kuna watu hua wana hekaheka jaman, mie tu kupiga picha kwa simu yangu ibaki tu kwenye simu naona hata siwezi. Kuna wakati hadi mtu akiniomba picha za wanangu inabidi nipige simu wanitumie. Nawaza huo muda wa kupanda daladala na begi kwenda kupiga picha ili tu nipost
muongo wewe
 
unakaalika kamtu usiku mmoja tu, asubuhi ikifika kamejikunyata kwenye blanket hata mpango wa kuondoka hakana. Ukikaacha, mchana ukiangalia status zake unakuta keshapost 'chilling at home' kipindi hicho kapo kwenye sofa yako kamejiachia kama kanajua bei yake.
Vimtu vya hivi unaweza jikuta unakitoa na fimbo. huwa vibishi kuondoka balaa.
Nawe unapelekaje demu kwako ambae hauna mpango nae,
 
Back
Top Bottom