The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 3,418
- 5,028
Aiseeee kumbe huku jf nateseka na wazee na warembo wapo insta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseeee kumbe huku jf nateseka na wazee na warembo wapo insta
Hii inaitwa fake until you make itunakaalika kamtu usiku mmoja tu, asubuhi ikifika kamejikunyata kwenye blanket hata mpango wa kuondoka hakana. Ukikaacha, mchana ukiangalia status zake unakuta keshapost 'chilling at home' kipindi hicho kapo kwenye sofa yako kamejiachia kama kanajua bei yake.
Vimtu vya hivi unaweza jikuta unakitoa na fimbo. huwa vibishi kuondoka balaa.
Yaani ukipita huko Instagram ndio utajua matatizo ya ajira pamoja na afya ya akili ni makubwa sana.
Wadada wa mjini a.k.a Maslay Queen wameibuka na kamtindo ka kwenda airport na mabegi makubwa kupiga picha na kupost Instagram ili kutafuta attention na aonekane yeye ni wa hadhi ya juu ili shughuli zake za ujasiriamali (kudanga) ziwe rahisi.
Mdada anatoka zake Kigogo sambusa au Buza kwa lulenge na begi lake kubwa kwenye daladala mpaka Kipawa airport anashuka anaenda pale nje Terminal 3 anapiga picha zake za kutosha anageuza zake nyumbani na kuedit picha zile kisha anazipost mtandaoni.
Afya ya akili ni tatizo kubwa sana linalokua kwa kasi hivi karibuni hasa kwa dada zetu hawa wa mjini.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wadada wa mjini watafika mbinguni wakiwa (dhoufulhal) wamechoka sanaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]Bora huyo, Kuna mwingine nimempiga picha akiwa na chunusi kibao usoni. Saiv kazipost Statius zinamuonyesha akiwa smooth kabisa usoni[emoji124]
Yani [emoji3526][emoji3526][emoji3526]mguu mosi,mguu pili mpk airport kaahh!![emoji38][emoji38][emoji38][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38]nadhani ni modern uchizi huuuKuna watu hua wana hekaheka jaman, mie tu kupiga picha kwa simu yangu ibaki tu kwenye simu naona hata siwezi. Kuna wakati hadi mtu akiniomba picha za wanangu inabidi nipige simu wanitumie. Nawaza huo muda wa kupanda daladala na begi kwenda kupiga picha ili tu nipost
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaweza ona wajinga ila kuna mambwiga wanakamatika kipuuzi kama hivyo.
Jinga jinga na vihela vyake akiona mdada yupo airport anaongeza dau la kuhonga hivyo hivyo akidhani ni matawi ya kimataifa kumbe kuku ya kienyeji.
Pia huyo unaemuona mshamba ukute keshakunja mpunga wa maana toka kwa zee moja lipenda dogo dogo kwa ajili ya kwenda kufunga mzigo wa biashara ambayo haipo.
Hapo hapo ikiwa mmoja keshatoa hela ya mzigo kuna mwingine kupitia picha hizo hizo anatoa pesa ya kugombolea mzigo, ikimaanisha kwa bwana mmoja anakwenda safari na kwa mwingine karudi toka safari.
Wazungu wana kamsemo kao 'The end justifies the means'. Ikiwa mwisho wa siku dhamira ya kupata pesa imetimia, haijalishi ni njia gani ilitumika kupata pesa hizo. Mjinga hasa ni ile midume inayohonga kijinga jinga.
Acha kabisaa[emoji1787][emoji1787]hii Dunia inaviumbe [emoji23]
Eti,Kigogo sambusa au Buza kwa lulenge,kwahiyo wale wa Upanga hawawezi kufanya haya mambo...?Yaani ukipita huko Instagram ndio utajua matatizo ya ajira pamoja na afya ya akili ni makubwa sana.
Wadada wa mjini a.k.a Maslay Queen wameibuka na kamtindo ka kwenda airport na mabegi makubwa kupiga picha na kupost Instagram ili kutafuta attention na aonekane yeye ni wa hadhi ya juu ili shughuli zake za ujasiriamali (kudanga) ziwe rahisi.
Mdada anatoka zake Kigogo sambusa au Buza kwa lulenge na begi lake kubwa kwenye daladala mpaka Kipawa airport anashuka anaenda pale nje Terminal 3 anapiga picha zake za kutosha anageuza zake nyumbani na kuedit picha zile kisha anazipost mtandaoni.
Afya ya akili ni tatizo kubwa sana linalokua kwa kasi hivi karibuni hasa kwa dada zetu hawa wa mjini.
Na ndio chanzo cha ushogaWadogo zetu wakiona hizo picha plus picha za kwenye mahoteli wanachanganyikiwa na shule wanaona zinawachelewesha wakati watu wanakula maisha.
Mitandao inaweza kukufanya uhisi wewe ndiye umefail maisha peke yako unasubiri kamshahara ambako mtu ananunulia vocha
Mwingine alisema anatumia vocha ya milioni 3 kwa siku. Unajiuliza hivi huyu milion anaijua vizuri au akili hana?Kuna clip nliona,kn dada anasema nyumba kwa mwezi analipia mln 7
Na blahblah kibao
Ukimuangalia tu anaonekana ubongo wake hauko sawa
Ova
Cjawah ndugu.Mkuu kwani wewe hujawahi panda ndege kwa maana hilo swali anatakiwa aulize ambaye anapanda akina Kimbinyiko
Huna sura ya pichaKuna watu hua wana hekaheka jaman, mie tu kupiga picha kwa simu yangu ibaki tu kwenye simu naona hata siwezi. Kuna wakati hadi mtu akiniomba picha za wanangu inabidi nipige simu wanitumie. Nawaza huo muda wa kupanda daladala na begi kwenda kupiga picha ili tu nipost