Siku hizi Wadada wanaenda kupiga picha na mabegi Airport

Siku hizi Wadada wanaenda kupiga picha na mabegi Airport

Mwambie hebu ageuke nyuma
87227CB5-38A7-42A5-9EEE-6FB54F32C62E.jpeg
 
Ila wanawake wana mambo jamani duh!!! Mara vigodoro,, mara mawigi, mara vipini puani, mara vikuku, mara visendo vya manyoya mara kucha feki, kope feki hawajaridhika wameamua kuja na hii style ya picha fake duuuuuuh
 
unakaalika kamtu usiku mmoja tu, asubuhi ikifika kamejikunyata kwenye blanket hata mpango wa kuondoka hakana. Ukikaacha, mchana ukiangalia status zake unakuta keshapost 'chilling at home' kipindi hicho kapo kwenye sofa yako kamejiachia kama kanajua bei yake.
Vimtu vya hivi unaweza jikuta unakitoa na fimbo. huwa vibishi kuondoka balaa.
Sasa kama unaishi Masaki au Mikocheni wafanyaje mkuu badala ya kuenjoy maisha😆😆😆😆
Wallah nimecheka mnooo
Ndio tunaowaona huku IG na snapchat na wanapendeza sio kawaida
Pole lakini😁😁😁
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama inawasaidia maisga yaende fresh ni akili ya kazi
 
Back
Top Bottom