Amin siku hizi wanawake wamekuwa ni wasaliti kuliko wanaume, unakuta mwanamke ana wapenzi si chini ya watano na unampatia kila anachokitaka, sijui ni tâmaa, utandawazi ama fashion?
Mbaya zaidi hawakubali kabisa ukiwauliza kucheat, na wengine ni wake Za watu kabisa.