Siku ikitokea viwanja vya mpira vikarudishwa kwenye Halmashauri za Miji na kuondolewa kwa CCM nitafurahi sana

Siku ikitokea viwanja vya mpira vikarudishwa kwenye Halmashauri za Miji na kuondolewa kwa CCM nitafurahi sana

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
9,616
Reaction score
22,521
Ukweli ni kwamba kama kmc wameweza kujenga uwanja mzuri vile imagine viwanja kama ccm kirumba,sokoine, jamhuri n.k vingepewa halmashauri wakarabati soka na michezo mingine ingeshamiri namna gani!?

Yani ikitokea nimepewa nchi Hilo ndio jambo la kwanza la kufanya
 
pole sana kwa kuchagua kukosa furaha kwa maisha yako yote yaliyobaki hapa duniani
 
Kwani halmashauri hazina viwanja? Tena hao halmashauri nfo balaa mfano kule babati na kahama kuna viwanja ila sasa ukiingia ndani utakuta nuasi mpaka kwenye vyumba vya kubadirishia nguo vyoo matundu mawili
 
Hii inamaanisha CCM ndio inayokwamisha mambo kibao hapa nchini.
Kwa kweli kwenye suala la michezo huwa nikiangalia hivi viwanja hadi unasikia huzuni na vingi viko katikati ya miji hadi miji inaonekana kama ghost city
 
Kwani halmashauri hazina viwanja? Tena hao halmashauri nfo balaa mfano kule babati na kahama kuna viwanja ila sasa ukiingia ndani utakuta nuasi mpaka kwenye vyumba vya kubadirishia nguo vyoo matundu mawili
Naamini ni rahisi halmashauri kuboresha uwanja kama ule wa pale shinyanga mjini kuliko huo wa kahama (sijawahi kuona)
 
pole sana kwa kuchagua kukosa furaha kwa maisha yako yote yaliyobaki hapa duniani
Hapana nafurahia Kigali arena na mda si mrefu nimetoka kuangalia game ya Rwanda vs Senegal
 
Linapokuja suala la wizi na ukwapuaji; ccm hawajawahi kuona aibu. Hivyo viwanja vyote ni mali ya wananchi wote wa Tanganyika. Ila wo wanaona ni sahihi kujimilikisha kinyume cha utaratibu.
 
Back
Top Bottom