Hakuna sehemu CCM imetia mkono pakaleta mafanikio.Hii inamaanisha CCM ndio inayokwamisha mambo kibao hapa nchini.
Naamini ni rahisi halmashauri kuboresha uwanja kama ule wa pale shinyanga mjini kuliko huo wa kahama (sijawahi kuona)Kwani halmashauri hazina viwanja? Tena hao halmashauri nfo balaa mfano kule babati na kahama kuna viwanja ila sasa ukiingia ndani utakuta nuasi mpaka kwenye vyumba vya kubadirishia nguo vyoo matundu mawili