Siku mkija gundua kwamba mapenzi si ya kuendekeza mtakuwa mmechelewa sana

Eeehh!! Starehe 4000$
Mbunye 3000$ hadi 4000$

Wazazi 500$?!! Kweli kuzaa sio kupata 😹😹😹
Wazazi Kwani kijijini hela yote ya nini na wanaenjoy baadhi ya investment zangu huko alafu tena unawapa 500$ yaan 1.2M ya tanzania kila mwezi huko usukumani ni hela nyingi sana Hiyo
 
Tunaelekea kuzuri sana sisi kama taifa,kama mimi kama mwanaume napaswa kujitengea kiasi fulani kwa ajili ya malaya si maendeleo hayo?

Yaani kwa maneno mengine ktk jasho langu ninalotafuta nitenge kiasi fulani cha kununulia maradhi?au ni mimi sijaelewa?
 
Wazazi Kwani kijijini hela yote ya nini na wanaenjoy baadhi ya investment zangu huko alafu tena unawapa 500$ yaan 1.2M ya tanzania kila mwezi huko usukumani ni hela nyingi sana Hiyo
Sasa si uwatoe huko bush au wewe unaona sawa tu?
 
Nani alinde mashamba sasa wao wana maisha kule nimewapiga mjengo mmoja hataree nikawapa nyongeza ya mifugo, nikawapa machine ya mchele kubwa nikawapa usafiri na tank najaza kila week waende town ! Sasa hapo si unaona
 
Tajiriiiiiii Venchwa..!!
Hapo sawa kula bata mpaka kuku washangae..!! 😹😹😹
 
Je sisi vijana ambao bado tupo kwa wazazi mnatushauri tuinvest kwa malaya?
 
Back
Top Bottom