Siku mkija gundua kwamba mapenzi si ya kuendekeza mtakuwa mmechelewa sana

Siku mkija gundua kwamba mapenzi si ya kuendekeza mtakuwa mmechelewa sana

Yaan zama hizi si za kupenda mtu! Nipe nikupe baasi,

Hakuna ku attach hisia zako kwa mtu, katika kazi unazofanya hakikisha kipato chako unakigawa hivi

Let say unapata 20,000$ monthly

Kwanza kabisa tenga 1,000$ akiba dharula
Invest . Kuwekeza Muhimu 5000$
Pili wazazi au walezi. 500$
Mavazi si lazima kila mwezi 2000$
Chakula na kuishi. Weka 3000$
Starehe na viwanja hapa. 4000$
Mbunye Muhimu. 3000 kama unakula za kawaida hapo ni kama 3 tu kwa mwezi ila kama unakula classic tenga 6000$ hapo unakula kama wa nne kwa mwezi pia kuna zile bonuses zinatokeaga za free!


Yaan hapa lengo langu kwenye bajet yako hela ya totoz Muhimu siyo mpenzi noo hao watakutesa na matumiz ya kila week , hii unatenga kula Chenye wataka


Kataa kubali ndo ukweli full stop
Kuna umri ukifika unaweza kutoka ofisini kabla muda wa kazi kuisha kuisha uka book hotel ukapumzika mwenyewe akili ikawe sawa then ukarudi zako home
 
Mchaga akiwa anafanya kazi ikulu au hata benki kuu, ukamuuliza unafanya kazi gani atakujibu "aiseeee chaliii yanguuu nipo tu nabangaiza bangaiza maisha yaendeee aisee"

Mhaya sasa hata kama anafanya kazi ya kusafisha choo utasikia "mimi ni chief executive toilet cleaner"

"SIFA NI MBAYA SANA"
 
Acha fix dogo.

Hakuna chochote unachokijua kuhusu mapenzi au hizo pesa ulizoweka hapo.

Peleka maji ndani kwenye madiaba, shemeji kakaribia kuja
Mtindiga wewe lonyalonya huna hela masikini unaishi jf humu kudanga mabwana
Panua nikusokomezee hizi


1783524008733.png
 
Back
Top Bottom