Siku mkija gundua kwamba mapenzi si ya kuendekeza mtakuwa mmechelewa sana

Kuna umri ukifika unaweza kutoka ofisini kabla muda wa kazi kuisha kuisha uka book hotel ukapumzika mwenyewe akili ikawe sawa then ukarudi zako home
 
Mchaga akiwa anafanya kazi ikulu au hata benki kuu, ukamuuliza unafanya kazi gani atakujibu "aiseeee chaliii yanguuu nipo tu nabangaiza bangaiza maisha yaendeee aisee"

Mhaya sasa hata kama anafanya kazi ya kusafisha choo utasikia "mimi ni chief executive toilet cleaner"

"SIFA NI MBAYA SANA"
 
Acha fix dogo.

Hakuna chochote unachokijua kuhusu mapenzi au hizo pesa ulizoweka hapo.

Peleka maji ndani kwenye madiaba, shemeji kakaribia kuja
Mtindiga wewe lonyalonya huna hela masikini unaishi jf humu kudanga mabwana
Panua nikusokomezee hizi


 
Acha fix dogo.

Hakuna chochote unachokijua kuhusu mapenzi au hizo pesa ulizoweka hapo.

Peleka maji ndani kwenye madiaba, shemeji kakaribia kuja
Kijana anaropoka kama amelishwa usembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…