Siku moja nitakuwa Rais wa Tanzania

Siku moja nitakuwa Rais wa Tanzania

ingia chama tawala komaa kumtukana mbowe na lissu, na kuwaita magaidi
anzia hapo mdogomdogo
Samahani ndugu mwananchi ,Mimi ni mpambe wa raisi mtarajiwa hivyo ,natumia nafasi hii kukujuza kuwa umeniquote Mimi mpambe badala ya mheahimiwa raisi mtarajiwa .

Vipi hapo mkuu realMamy unaonaje nitakuwa vizuri kwenye kuwasilisha hoja nikiwa waziri wa sifa na utukufu kwa mkuu wa nchi?
 
Kama hapo ulipo umefikisha miaka 15 na huna connection yoyote na mtu yeyote wa serikali kuu bc sio ww wala uzao wako utakaoweza kupata hiyo
Samahani ndugu mwananchi ,Mimi ni mpambe wa raisi mtarajiwa hivyo ,natumia nafasi hii kukujuza kuwa umeniquote Mimi mpambe badala ya mheahimiwa raisi mtarajiwa .

Vipi hapo mkuu realMamy unaonaje nitakuwa vizuri kwenye kuwasilisha hoja nikiwa waziri wa sifa na utukufu kwa mkuu wa nchi?
😅😅😅😅
 
Hiyo ni ndoto yangu kubwa nisipoifanikisha mimi basi mwanangu atakuwa Rais.

Nifanye nini ili nifanikishe ndoto yangu hii kubwa?
Hakuna namna ya kufanya zaidi ya wewe kuwa Rais! Ndoto haina mbadala wa njia ya kuifikia. Face your fears and go for it!
 
Ungana na kaka Luca na mwenzie Tlaatlaah
katika maombi yako kwa Mungu,
ukibainisha bayana nia na dhamira yako ya dhati kwake na kuweka bayana moyoni mwako ya kwamba, endapo atakutimizia ombi na kusudio lako hilo jema,

itakua ni anasa, manyanyaso, uonevu au taabu na usumbufu kwa wengine? au itakua Baraka, Neema, faida kimwili, kiroho na amani kwa watu wote?

nakutakia kila lililo la kheri katika kutimiza miongoni mwao ndoto zako humu duniani.
Na Mungu Mwenyezi akubariki sana 🐒
 
Back
Top Bottom