Siku mtu mwenye mali zake mkazi wa Dar aliyeugua maradhi yasiyojulikana alivyoletwa kutibiwa kwa mganga wa kienyeji huko Lindi

Siku mtu mwenye mali zake mkazi wa Dar aliyeugua maradhi yasiyojulikana alivyoletwa kutibiwa kwa mganga wa kienyeji huko Lindi

Ni njaa na imani dhaifu tu
Wengi tunaishi maisha ya furaha tu
Ila kuna watu wana tamaa za haraka sio kwa wanawake hata wanaume wengi tu
Mtu hawezi kuweka hela na kuwa na fikra za miaka 15 ijayo akusanye hela afanye kitu cha maana
Bali anawaza amuue baba yake ili arithi
Na wengi wako hivyo
 
Kuna jamaa Moja ana Hela nyingi Sana . Kauli mbiu yake Ni " I am too rich to get married"

He says " marriage is a thing for poor people"

Ukiwa huna Hela utachapiwa Tu lakini ukiwa na Hela unaweza kutangulizwa ili yeye abaki na Hela

Sasa kipi Bora kuchapiwa au kutangulizwa?
marriage is a thing for poor people,nimeipenda sana hii
 
Siku hiz wanakauli mbiu ya "tafta ela/pesa" kumbe wanatuamasisha ili waje watuue!?

Ila hiz tamaa za mali zipo kwa jinsia zote linapokuja kuja.swala la mali(pesa) uaminifu kutoeka ni jambo dogo sana
Jinsia ya kike aisee ni top [emoji35][emoji35] kwenye swala la tamaa ya pesa na mali.

Ndo maana mwanaume ukiwa hauna pesa na mali,mwanamke anakuona taka taka tu.
 
Back
Top Bottom